Recent posts
7 August 2026, 20:17
Wakulima wanaweza kupokea malipo ya mazao kupitia Mixx by Yas
Hii ni hatua inayolenga kuboresha ukusanyaji wa mapato ya wakulima, kuongeza upatikanaji wa mikopo ya kilimo na kulinda afya ya mifugo kupitia bima, yote kwa njia yenye usalama na ufanisi kupitia simu zao za mkononi. Na Anwary Shabani. Wakulima mkoani…
7 August 2026, 16:41
Ulinzi waimarishwa katika viwanja vya maonesho ya nanenane Dodoma
Katika hatua nyingine, ACP Hyera amewataka wataalamu wa tiba asili kuacha kujihusisha na vitendo vya ramli chonganishi vinavyoweza kusababisha migogoro na kuvuruga amani katika jamii, akisisitiza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kuchukua hatua dhidi ya vitendo vyovyote vinavyohatarisha usalama na…
7 August 2026, 12:52
Wanaume wanawezaje kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia?
Ni muhimu kufahamu kuwa ukatili umegawanyika katika makundi manne makuu: ambayo ni ukatili wa kimwili, ukatili wa kingono, ukatili wa kihisia na ukatili mwingine. Na Mariam Kasawa.Ukatili wa kijinsia ni kitendo chochote cha unyanyasaji ambacho husababisha, au kinaweza kusababisha madhara…
7 August 2026, 11:37
Wananchi walalamikia upimaji wa ardhi unaoleta migogoro katika jamii
Kutokana na maelekezo ya mkuu wa wilaya wenyekiti wa mtaa wa Mbulu Mission Solomon Ruta amekiri kupokea maelekezo ya mkuu wa wilaya huku akiahidi kuyafanyia kazi haraka iwezekanavyo. Na Leokadia Andrew. Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mbulu wilayani Kahama…
7 August 2026, 11:03
Serikali yaombwa kushughulikia chanzo cha changamoto za vijana Mpwapwa
Na Stephen Noel. Vijana wa vyuo vya kati wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wameiomba Serikali kuweka mkazo katika kushughulikia vyanzo vya changamoto zinazowakabili vijana badala ya kujikita katika kushughulikia matokeo yake pekee.Ombi hilo limetolewa na baadhi ya vijana hao walipozungumza na…
6 August 2026, 17:38
Wakulima watakiwa kutumia anuani za makazi
Mhandisi Turuka ametoa wito kwa wananchi wote wanaotembelea Maonesho ya Nanenane kufika katika banda la Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ili kupata elimu na kujisajili au kusasisha taarifa zao katika Mfumo wa Anwani za Makazi, hatua ambayo itawawezesha…
6 August 2026, 17:10
Wazazi wahimizwa kuelimisha watoto elimu ya uzazi
Wazazi na walezi watakiwa kujenga ukaribu na watoto wao ili wawe huru kujadili masuala ya afya ya uzazi, kwasababu mawasiliano ya wazi ndani ya familia ni msingi wa kuwalea watoto wenye uelewa na maadili mema. Na Daniel Njau. Wananchi wametakiwa…
5 August 2026, 17:04
RUWASA Manyara kufanya tathmini upatikanaji wa maji TEWW
Na Hamis Kitana. Katika ziara hiyo, Waziri Aweso ameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwekeza katika sekta ya elimu na kuhakikisha Watanzania wa makundi yote wanapata fursa ya kujifunza na kujipatia…
5 August 2026, 16:43
Mixx by Yas kuunga mkono juhudi za kuimarisha sekta ya tiba asili nchini
Kwa kutoa msaada huo wa mawasiliano, Mixx by Yas inaendelea kuonesha dhamira yake ya kushirikiana na taasisi mbalimbali katika kuboresha utoaji wa huduma na kuongeza ufanisi wa shughuli za maendeleo katika jamii. Na Anwar shabani. Kampuni ya Mixx by Yas…
5 August 2026, 14:24
Mpwapwa yatajwa kinara usafirishaji watoto wa kazi za ndani
Mamlaka zimewataka wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kulinda haki za watoto kwa kuhakikisha wanapata elimu na malezi stahiki badala ya kuingizwa katika ajira za utotoni. Na Stephen Noel. Afisa Ustawi wa Jamii wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Josephine Mwaipopo,…