Dodoma FM

Recent posts

5 August 2026, 16:43

Mixx by Yas kuunga mkono juhudi za kuimarisha sekta ya tiba asili nchini

Kwa kutoa msaada huo wa mawasiliano, Mixx by Yas inaendelea kuonesha dhamira yake ya kushirikiana na taasisi mbalimbali katika kuboresha utoaji wa huduma na kuongeza ufanisi wa shughuli za maendeleo katika jamii. Na Anwar shabani.                                                Kampuni ya Mixx by Yas…

5 August 2026, 14:24

Mpwapwa yatajwa kinara usafirishaji watoto wa kazi za ndani

Mamlaka zimewataka wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kulinda haki za watoto kwa kuhakikisha wanapata elimu na malezi stahiki badala ya kuingizwa katika ajira za utotoni. Na Stephen Noel. Afisa Ustawi wa Jamii wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Josephine Mwaipopo,…

5 August 2026, 13:02

Wananchi watakiwa kupima afya mara kwa mara

Kwa mujibu wa Utafiti wa Taifa wa STEPS 2023, uliofanywa na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO), asilimia 2.9 ya Watanzania wenye umri wa miaka 18 hadi 69 wanaishi na ugonjwa wa kisukari, huku asilimia…

5 August 2026, 12:49

Unyonyeshaji maziwa ya mama una umuhimu kwa ukuaji wa afya ya mtoto?

Wiki ya Unyonyeshaji Duniani huadhimishwa kila mwaka kuanzia tarehe 1 hadi 7 Agosti, ambapo Tanzania imekuwa ikiadhimisha wiki hiyo tangu mwaka 2002 kwa lengo la kuongeza uelewa kwa jamii kuhusu umuhimu wa unyonyeshaji wa maziwa ya mama katika afya, ukuaji…

4 August 2026, 17:16

HEAT-Mzumbe yaweka mkazo kwenye mitaala yote

Hatua hizo zinatarajiwa kuongeza ubora wa elimu inayotolewa na Chuo Kikuu cha Mzumbe na kuzalisha wahitimu wenye maarifa, ujuzi na uwezo wa kuchangia maendeleo ya taifa katika nyanja mbalimbali. Na Anwary  Shabani.          Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Profesa…

4 August 2026, 17:01

Mshikamano wa walimu, wazazi kutokomeza utoro shuleni

Dickson Dede Mwenyekiti wa Kijiji cha Mguba amesema kuwa changamoto ya umbali imekuwa chanzo cha utoro Kwa wanafunzi licha ya kuendelea kuhamasisha jamii kujitolea ujenzi wa sekondari itakayo ondoa kadhia hiyo ya utoro. Na Victor Chigwada.                       Imeelezwa mshikamano iliyopo baina…

3 August 2026, 17:59

Waganga tiba asili wakumbushwa kuzingatia maadili

Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo ya Sayansi Shirikishi Awamu ya Pili kwa mwaka 2026 wamesema mafunzo hayo yamekuwa na manufaa makubwa kwao kwani yamewaongezea uelewa wa kitaaluma, huku wakieleza kuwa sasa wanaweza kufanya kazi kwa kujiamini kutokana na kuwa…

3 August 2026, 17:51

Serikali yawekeza zaidi ya shilingi bil. 70 sekta ya usafiri nchini

Uwekezaji huo unaonyesha dhamira ya Serikali ya kuendelea kuimarisha sekta ya usafiri kwa kuzalisha wataalamu wenye ubora watakaochangia maendeleo ya uchumi wa Taifa na kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Na Mwandishi Wetu Serikali imewekeza zaidi ya…

3 August 2026, 17:26

Asasi za kiraia Mpwapwa zachukizwa kasi uharibifu wa mazingira

“Fikira mpya, uendelevu wa mashirika yasiyo ya kiserikali, ubunifu, ubia na upatikanaji wa rasilimali fedha kupitia vyanzo vya ndani. Na Stephen Noel. Serikali ya Wilaya ya Mpwapwa imeahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa mashirika yasiyo ya kiserikali ili kuchochea utekelezaji wa…

3 August 2026, 11:51

Waliotahiriwa mara mbili Kiteto, DC ang’aka

Mkuu wa Wilaya ya Kiteto amesema hakuna mtu aliye juu ya sheria, na vitendo vya ukatili vitachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria. Na Hamis Kitana. Vitendo vya ukatili vinavyodaiwa kufanywa dhidi ya baadhi ya vijana  kwa kutahiriwa mara ya pili…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger