Recent posts
29 July 2026, 15:39
Wananchi Dodoma watakiwa kutumia fursa zinazopatikana kujiingizia kipato
Vile vile kupitia uongozi wa jiji wanatoa mikopo na elimu bure kwa watu wote wanaotaka kujikita katika ufugaji wa samaki wa mabwawa ili kuongeza kipato na kukuza uchumi wa wananchi. Na Jerome John. Wakazi wa jiji la Dodoma wametakiwa kuzitumia…
28 July 2026, 16:57
Elimu ya malezi yatajwa kuwa msingi wa familia imara
Malezi bora ni wajibu wa jamii nzima, wakisisitiza ushirikiano kati ya wazazi, walezi, shule na jamii kwa ujumla Na Daniel Njau. Wazazi na walezi wametakiwa kuimarisha ushiriki wao katika malezi ya watoto kwa kuhudhuria na kufuatilia vipindi vya malezi, hatua…
28 July 2026, 16:36
Homa ya ini inaweza kuingia mwilini bila kuonesha dalili
Ugonjwa huu unapoingia mwilini huendelea kuharibu ini taratibu hadi kulisababisha kusinyaa na baadaye kupelekea saratani. Na Jerome John Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Homa ya Ini leo Jumanne, Julai 28, wataalamu wa afya wameonya kuwa ugonjwa huo unaweza kuingia mwilini…
28 July 2026, 16:07
Wananchi Chang’ombe waiomba serikali kuboresha eneo la stendi
Utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa kituo cha mabasi utaondoa changamoto za msongamano, kuongeza usalama wa watumiaji wa kituo hicho na kuboresha huduma za usafiri, sambamba na kukuza shughuli za kiuchumi katika eneo la Chang’ombe na Jiji la Dodoma kwa…
27 July 2026, 16:59
Wanaume wahimizwa kufanya vipimo saratani ya tezi dume
Wananchi wameitaka serikali pamoja na wadau wa sekta ya afya kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu saratani ya tezi dume, wakiamini kuwa uhamasishaji wa mara kwa mara utasaidia kuongeza uelewa, kuondoa hofu ya kupima na kuwezesha wagonjwa wengi kugundulika mapema…
27 July 2026, 16:40
Polisi waomba ushirikiano wa viongozi wa dini kufichua ukatili
Mrakibu Mnyanyi amebainisha kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi hivyo utekelezaji wake unahitaji ushirikiano wa kila mmoja.zilizosaini mikataba ya kikanda na kimataifa ya kupinga ukatili wa kijinsia, Na Stephen Noel. Jeshi la Polisi Tanzania limewaomba viongozi wa dini pamoja na…
27 July 2026, 16:32
Wananchi watakiwa kuungana vita dhidi ya ukatili wa kijinsi
Kwa kuendelea kutoa elimu na kushirikisha wananchi kupitia majukwaa mbalimbali ya kijamii, Jeshi la Polisi linaamini kuwa vitendo vya ukatili wa kijinsia vinaweza kupungua na jamii ikaendelea kuwa salama kwa kila mtu. Na Anwary Shaban. Jeshi la Polisi kupitia Dawati…
24 July 2026, 16:44
Bei mpya ya kodi ya vibanda vya biashara Kongwa yatajwa
Sambamba na hayo wafanyabiashara wamekubaliana na Serikali kusaini mikataba mipya na kulipa kodi mpya iliyoongezwa kwa maendeleo ya Wilaya ya Kongwa. Na Mariam Kasawa. Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Mayeka s Mayeka amekutana na wamiliki wa vibanda pamoja na…
24 July 2026, 16:34
Jamii yaaswa kuwapatia elimu watoto wenye mahitaji maalum
Wazazi na wadau wasema unyanyapaa umepungua, mwamko wa kuwapeleka shule umeongezeka. Na Stephen Noel Jamii imeshauriwa kuendelea kuwasaidia watoto wenye mahitaji maalum ikiwemo kuwapatia haki ya kupata elimu. Wakiongea na Dodoma FM baadhi ya wazazi wa watoto wenye mahitaji maalum…
24 July 2026, 15:53
Serikali yaendelea kuboresha mazingira ya tehama katika elimu
Ndani ya kipindi cha miaka mitano serikali imefanikiwa kujenga shule 12 zenye thamani ya takribani shilingi bilioni 15.1 katika Wilaya ya Mpwapwa. Na Anwary Shaban. Serikali imeendelea kuboresha mazingira ya Tehama katika elimu kwa kuongeza vifaa vya ufundishaji na ujifunzaji…