Recent posts
20 July 2026, 17:34
Wananchi Ilangali B walia uharibifu wa mto Kizogo
Licha ya wadau wa mazingira kufika eneo la uchimbaji kufanya tathmini na kutoa maelekezo lakini kumekuwa hakuna utekelezaji wowote. Na Anwary Shaban. Wakazi wa kitongoji cha Ilangali “B” Kata ya Manda Wilaya ya Chamwino wameendelea kulia na uharibifu wa chanzo…
20 July 2026, 17:25
Wananchi Chiwoni wafanya harambee ujenzi wa shule shikizi
Juhudi hizi za wananchi zinaonesha namna ushirikiano kati ya jamii, viongozi na wadau unavyoweza kuwa chachu ya maendeleo ya elimu. Kukamilika kwa shule hiyo kunatarajiwa kupunguza adha ya wanafunzi kutembea umbali mrefu na kuongeza fursa ya watoto wengi kupata elimu…
17 July 2026, 16:53
Mitazamo hasi kwa wenye ualbino inavyowaathiri kisaijolojia
Watu hao wamekuwa wakibaguliwa na hata kuitwa majina yasiostahili. Na Lilian Leopold.Mitazamo hasi inayoendelea kuwepo katika baadhi ya jamii kuhusu watu wenye ualbino, ikiwemo kuwaita majina yasiyofaa, imetajwa kuendelea kuwaathiri kisaikolojia na kuathiri ustawi wao. Jamii ya albino imekumbwa na…
17 July 2026, 16:32
Wanaume watakiwa kusimama katika nafasi zao katika malezi
Wananchi wanaamini kuwa nafasi ya mwanamume katika malezi ni kubwa kwa sababu watoto hujifunza zaidi kupitia matendo kuliko maneno. Na Daniel Njau.Wanaume wametakiwa kusimama katika nafasi zao ili kujenga jamii yenye maaadili na kujituma. Baba anayewajibika kwa familia yake, anayeheshimu…
17 July 2026, 15:32
Vikundi vya kijamii, polisi kushirikiana kufichua ukatili
Washiriki wa kikundi hicho wameahidi kuendelea kufanya kazi na Polisi na viongozi wa jamii ili kuhakikisha Mpwapwa inakuwa salama kwa wanawake na watoto. Na Stephen Noel. Vikundi mbalimbali vya kijinsia vinavyoanzishwa kwenye jamii kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi vimetakiwa…
16 July 2026, 16:47
Wananchi wa watakiwa kutunza miradi ya maendeleo
Ziara hiyo ni sehemu ya utaratibu wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, kutathmini ubora wa kazi zinazofanyika na kuhakikisha miradi hiyo inakidhi viwango vinavyotarajiwa pamoja na kutoa manufaa yaliyokusudiwa kwa wananchi. Na Anwary Shaban.…
16 July 2026, 16:28
Mgogoro wa ardhi wapelekea nyumba 15 kubomolewa
Zaidi ya nyumba 15 zimebomolewa katika Mtaa wa Mpamaa Block 7, Kata ya Miyuji jijini Dodoma, huku familia kadhaa zikibaki bila makazi na mali zao kuharibika. Na Bennard Filbert. Wakazi wa Mtaa wa Mpamaa Block 7, Kata yaMiyuji jijini Dodoma…
16 July 2026, 13:19
Wananchi watakiwa kuacha dhana potofu kuandika wosia
Jamii imehimizwa kufuata sheria na taratibu za mirathi pamoja na kuandika wosia mapema ili kulinda haki za warithi, kuimarisha amani ya familia na kuondoa migogoro inayoweza kuepukika. Na Anwary Shaban. Migogoro ya mirathi imeendelea kuwa chanzo cha migawanyiko katika familia…
16 July 2026, 12:23
Serikali yaombwa kufanyia tathmini shule ya msingi Ikombolinga
Amesema licha ya kupokea fedha za mfuko wa Jimbo kwaajili ya ukarabati wa shule hiyo bado pesa hizo hazikidhi mahitaji ya ukarabati wa shule hiyo. Na Victor Chigwada. Wakazi wa kijiji cha Ikombolinga Wilayani Chamwino wameiomba Serikali kufanya tathimini ya…
15 July 2026, 17:59
Jamii yatakiwa kutambua ukeketaji ni kitendo cha hatari
Jitihada hizo zinaendelea kuonesha dhamira ya serikali na wadau mbalimbali ya kuhakikisha ukeketaji unatokomezwa kabisa, huku wananchi wakihimizwa kushiriki kikamilifu katika kampeni za elimu na kutoa taarifa za vitendo hivyo ili kulinda afya, haki na mustakabali wa mtoto wa kike.…