Dodoma FM

Recent posts

15 July 2026, 17:43

Wataalam waonya unywaji pombe kali unavyotengeneza taifa la wagonjwa

Wataalamu wa Afya wameendelea kusisitiza umuhimu wa vijana kujishughulisha na shughuli za maendeleo badala ya kutumia muda mwingi katika unywaji wa pombe. Na Stephan Noel. Serikali na Asasi za Kiraia zimeshauriwa kuongeza jitihada za kutoa Elimu ya Afya kwa vijana…

14 July 2026, 17:39

Kiteto yafanikisha mapambano dhidi ya dawa za kulevya

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026, Ndg. Wazo Michael Mwang’onda, ameipongeza Wilaya ya Kiteto kwa jitihada za kudhibiti ulimaji na usafirishaji wa dawa za ,kulevya. Na Kitana Hamis. Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026 umewasili Wilayani Kiteto mkoani…

14 July 2026, 17:28

Jamii yatakiwa kuthamini utu wa Binadamu

Uongozi umesisitiza kuwa kila mwanadamu anastahili heshima na matunzo wakati wa uhai na hata baada ya kufariki. Na Steven Noel Uongozi wa mtaa wa Hazina Kata ya Vighawe Wilaya ya Mpwapwa umeiomba jamii kuthamini utu wa mtu na kumpatia haki…

14 July 2026, 17:18

Wanawake watakiwa kufanya shughuli za kujiingizia kipato

Kadiri wanawake wanavyoendelea kuvunja vikwazo na kushiriki katika sekta mbalimbali za uzalishaji, wito umetolewa kwa jamii kuendelea kuwaunga mkono na kuwapa fursa sawa, ili uwezo wao uweze kuchangia maendeleo ya familia, jamii na taifa kwa ujumla. Na Anwary Shaban. Wanawake…

14 July 2026, 10:12

Serikali kutumia mafunzo ya ujasiriamali kutengeneza bidhaa

Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji mkoani Morogoro, Beatrice Njawa, amesema mwandishi wa habari anaweza kuwa mtengenezaji wa bidhaa na mtumishi wa umma anaweza kuwa mjasiriamali na huo ndio mwelekeo wa taifa. Na Mwandishi wetu. Serikali imeahidi…

13 July 2026, 15:52

Umiliki halali wa ghala Matui wazua mgogoro

Hii hapa tarifa yake  kitana Hamisi kutoka wilayani Kiteto  Mkoani Manyara. Na Kitana Hamis. Mvutano wa umiliki wa ghala lililopo Kijiji cha Matui, Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, umeendelea kushika kasi huku wananchi na Chama cha Ushirika cha Matui (Matui…

13 July 2026, 15:36

Jamii yatakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya malaria

Kulingana na jitihada zinazofanywa na serikali pamoja na wadau mbali mbali kumekuwa na matokeo mazuri ya kupunguza maambukizi. Na Jerome John. Jamii mkoani Dodoma imeshauriwa kuendelea kuchukua tahadhari juu ya maambukizi ya ugonjwa wa malaria. Wito  huo umetolewa na Dkt.…

13 July 2026, 15:27

Unyanyapaa kikwazo kwa wenye ulemavu wanaoishi na VVU

Kwa kuendelea kutoa elimu na kuondoa unyanyapaa, wadau wanaamini kampeni ya “Na Sisi Tupo” itasaidia kujenga jamii yenye usawa, inayowathamini watu wenye ulemavu wanaoishi na Virusi vya ikimwi  na kuwawezesha kuishi maisha yenye matumaini na heshima. Na Anwary Shaban. Unyanyapaa…

10 July 2026, 18:28

Fikra potofu, ukosefu wa ajira wazazi washawishi watoto wajifelishe

Hata hivyo baadhi Wazazi kutokana na kutokuwa na uelewa wa kutosha juu ya faida za elimu, wamekuwa wakiwahimiza watoto wao kuolewa badala ya kuendelea na masomo. Na Victor Chigwada. Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ikombolinga wameendelea kushikilia dhana ya…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger