Recent posts
4 August 2026, 17:01
Mshikamano wa walimu, wazazi kutokomeza utoro shuleni
Dickson Dede Mwenyekiti wa Kijiji cha Mguba amesema kuwa changamoto ya umbali imekuwa chanzo cha utoro Kwa wanafunzi licha ya kuendelea kuhamasisha jamii kujitolea ujenzi wa sekondari itakayo ondoa kadhia hiyo ya utoro. Na Victor Chigwada. Imeelezwa mshikamano iliyopo baina…
3 August 2026, 17:59
Waganga tiba asili wakumbushwa kuzingatia maadili
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo ya Sayansi Shirikishi Awamu ya Pili kwa mwaka 2026 wamesema mafunzo hayo yamekuwa na manufaa makubwa kwao kwani yamewaongezea uelewa wa kitaaluma, huku wakieleza kuwa sasa wanaweza kufanya kazi kwa kujiamini kutokana na kuwa…
3 August 2026, 17:51
Serikali yawekeza zaidi ya shilingi bil. 70 sekta ya usafiri nchini
Uwekezaji huo unaonyesha dhamira ya Serikali ya kuendelea kuimarisha sekta ya usafiri kwa kuzalisha wataalamu wenye ubora watakaochangia maendeleo ya uchumi wa Taifa na kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Na Mwandishi Wetu Serikali imewekeza zaidi ya…
3 August 2026, 17:26
Asasi za kiraia Mpwapwa zachukizwa kasi uharibifu wa mazingira
“Fikira mpya, uendelevu wa mashirika yasiyo ya kiserikali, ubunifu, ubia na upatikanaji wa rasilimali fedha kupitia vyanzo vya ndani. Na Stephen Noel. Serikali ya Wilaya ya Mpwapwa imeahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa mashirika yasiyo ya kiserikali ili kuchochea utekelezaji wa…
3 August 2026, 11:51
Waliotahiriwa mara mbili Kiteto, DC ang’aka
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto amesema hakuna mtu aliye juu ya sheria, na vitendo vya ukatili vitachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria. Na Hamis Kitana. Vitendo vya ukatili vinavyodaiwa kufanywa dhidi ya baadhi ya vijana kwa kutahiriwa mara ya pili…
3 August 2026, 11:31
Waziri wa Kilimo aongoza marathon miaka 10 ya Tari
Maadhimisho ya Miaka 10 ya TARI yanatarajiwa kuendelea kwa shughuli mbalimbali zikiwemo maonesho ya teknolojia za kilimo, elimu kwa wananchi na utoaji wa huduma za ushauri wa kitaalamu kwa wadau wa sekta hiyo. Na mwandishi wetu. Waziri wa Kilimo Mhe.Daniel…
31 July 2026, 17:35
Wazazi watakiwa kuunga mkono mpango wa chakula shuleni
Baadhi ya wazazi wamesema uwepo wa chakula shuleni ni kuimarisha taaluma ya shule Kwa ujumla hivyo upo umuhimu wa Kila mzazi kushiriki, tofauti na hapo Sheria zichukuliwa Kwa wazazi wanao kaidi sanjali na kuendelea kuwa elimisha wananchi juu ya umuhimu…
31 July 2026, 17:22
Ukatili wa kijinsia unakwamishaje elimu ya mtoto wa kike?
Jamii na wadau mbalimbali ni muhimu kushirikiana katika kumlinda mtoto wa kike na kumpa mazingira salama ya kusoma, kukua na kutimiza ndoto zake, huku wakisisitiza kuwa juhudi hizo zinapaswa kupewa kipaumbele ili kuhakikisha mtoto wa kike anapata fursa sawa ya…
31 July 2026, 17:00
Teknolojia ya robots kukuza uchumi wa kidijitali
Wasichana wakipata elimu kuhusu matumizi ya teknolojia ya Robots katika kukuza uchumi Tanzania. Picha na Mtandao Mafunzo hayo ni matokeo ya dhamira ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kuwawezesha watumishi wa umma kumudu teknolojia zinazoibukia, akieleza kuwa…
30 July 2026, 17:40
Wanawake chanzo cha msongo wa mawazo kwa wanaume
Wanandoa kujenga utamaduni wa mawasiliano ya wazi, kuheshimiana na kutatua migogoro kwa njia ya mazungumzo, huku akisisitiza umuhimu wa kutafuta ushauri wa kitaalamu mapema ili kuzuia msongo wa mawazo na mfadhaiko usiathiri afya ya akili na ustawi wa familia. Na…