Recent posts
7 August 2026, 11:37
Wananchi walalamikia upimaji wa ardhi unaoleta migogoro katika jamii
Kutokana na maelekezo ya mkuu wa wilaya wenyekiti wa mtaa wa Mbulu Mission Solomon Ruta amekiri kupokea maelekezo ya mkuu wa wilaya huku akiahidi kuyafanyia kazi haraka iwezekanavyo. Na Leokadia Andrew. Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mbulu wilayani Kahama…
7 August 2026, 11:03
Serikali yaombwa kushughulikia chanzo cha changamoto za vijana Mpwapwa
Na Stephen Noel. Vijana wa vyuo vya kati wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wameiomba Serikali kuweka mkazo katika kushughulikia vyanzo vya changamoto zinazowakabili vijana badala ya kujikita katika kushughulikia matokeo yake pekee.Ombi hilo limetolewa na baadhi ya vijana hao walipozungumza na…
6 August 2026, 17:38
Wakulima watakiwa kutumia anuani za makazi
Mhandisi Turuka ametoa wito kwa wananchi wote wanaotembelea Maonesho ya Nanenane kufika katika banda la Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ili kupata elimu na kujisajili au kusasisha taarifa zao katika Mfumo wa Anwani za Makazi, hatua ambayo itawawezesha…
6 August 2026, 17:10
Wazazi wahimizwa kuelimisha watoto elimu ya uzazi
Wazazi na walezi watakiwa kujenga ukaribu na watoto wao ili wawe huru kujadili masuala ya afya ya uzazi, kwasababu mawasiliano ya wazi ndani ya familia ni msingi wa kuwalea watoto wenye uelewa na maadili mema. Na Daniel Njau. Wananchi wametakiwa…
5 August 2026, 17:04
RUWASA Manyara kufanya tathmini upatikanaji wa maji TEWW
Na Hamis Kitana. Katika ziara hiyo, Waziri Aweso ameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwekeza katika sekta ya elimu na kuhakikisha Watanzania wa makundi yote wanapata fursa ya kujifunza na kujipatia…
5 August 2026, 16:43
Mixx by Yas kuunga mkono juhudi za kuimarisha sekta ya tiba asili nchini
Kwa kutoa msaada huo wa mawasiliano, Mixx by Yas inaendelea kuonesha dhamira yake ya kushirikiana na taasisi mbalimbali katika kuboresha utoaji wa huduma na kuongeza ufanisi wa shughuli za maendeleo katika jamii. Na Anwar shabani. Kampuni ya Mixx by Yas…
5 August 2026, 14:24
Mpwapwa yatajwa kinara usafirishaji watoto wa kazi za ndani
Mamlaka zimewataka wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kulinda haki za watoto kwa kuhakikisha wanapata elimu na malezi stahiki badala ya kuingizwa katika ajira za utotoni. Na Stephen Noel. Afisa Ustawi wa Jamii wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Josephine Mwaipopo,…
5 August 2026, 13:02
Wananchi watakiwa kupima afya mara kwa mara
Kwa mujibu wa Utafiti wa Taifa wa STEPS 2023, uliofanywa na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO), asilimia 2.9 ya Watanzania wenye umri wa miaka 18 hadi 69 wanaishi na ugonjwa wa kisukari, huku asilimia…
5 August 2026, 12:49
Unyonyeshaji maziwa ya mama una umuhimu kwa ukuaji wa afya ya mtoto?
Wiki ya Unyonyeshaji Duniani huadhimishwa kila mwaka kuanzia tarehe 1 hadi 7 Agosti, ambapo Tanzania imekuwa ikiadhimisha wiki hiyo tangu mwaka 2002 kwa lengo la kuongeza uelewa kwa jamii kuhusu umuhimu wa unyonyeshaji wa maziwa ya mama katika afya, ukuaji…
4 August 2026, 17:16
HEAT-Mzumbe yaweka mkazo kwenye mitaala yote
Hatua hizo zinatarajiwa kuongeza ubora wa elimu inayotolewa na Chuo Kikuu cha Mzumbe na kuzalisha wahitimu wenye maarifa, ujuzi na uwezo wa kuchangia maendeleo ya taifa katika nyanja mbalimbali. Na Anwary Shabani. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Profesa…