Recent posts
30 July 2026, 17:36
Uhaba wa walimu wasababisha wazazi kuchanga Shs1000 kila mwezi
Jitihada za kumpata mwalimu mkuu wa shule hiyo kueleza changamoto hiyo ya walimu na malalamiko ya wazazi haikuweza kufanikiwa. Na Victor Chigwada. Uhaba wa walimu katika shule ya msingi Majengo iliyopo kijiji cha Mguba wilayani Chamwino umepelekea kila mzazi kuchangia…
30 July 2026, 17:23
Serikali yachukua hatua mtoto aliyepotea Dar kurudishwa Mpwapwa
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na vyombo vya dola kuhakikisha watoto wote wanaopotea wanapatikana na kurudishwa kwa wazazi wao. Na Stephen Noel. Serikali imesema imechukua hatua ya kumtafuta mtoto wa Mpwapwa aliepotea jijini Dar es Salaam na sasa imeshaanza utaratibu wa…
30 July 2026, 17:06
TADB yaongeza kiwango utoaji wa mikopo sekta ya kilimo
Serikali inaendelea kushirikiana na taasisi za kifedha kuhakikisha sekta ya kilimo inapata mtaji wa kutosha ili kuongeza uzalishaji, kuimarisha usalama wa chakula na kuchochea ukuaji wa uchumi wa taifa. Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imesema imeongeza kwa kiwango…
29 July 2026, 17:05
Sekta za umma na binafsi zimetakiwa kushirikiana kuharakisha maendeleo
Mhe. Senyamule amesema usimamizi madhubuti wa miradi ya maendeleo, kuimarisha ushirikiano na sekta binafsi pamoja na kuzingatia misingi ya utawala bora ni nguzo muhimu zitakazochochea maendeleo ya Mkoa wa Dodoma na kuchangia kufikiwa kwa malengo ya Dira ya Taifa ya…
29 July 2026, 15:56
Wananchi Handali wapongeza ukarabati matundu ya vyoo katika zahanati
Hapo awali mazingira ya vyoo katika kituo hicho cha afya hayakuwa mazuri na salama kwa afya za watumiaji. Na Victor Chigwada. Ukarabati na ujenzi wa matundu ya vyoo katika kituo Cha afya Handali umeleta ahueni kwa wananchi wanao fika kituoni…
29 July 2026, 15:39
Wananchi Dodoma watakiwa kutumia fursa zinazopatikana kujiingizia kipato
Vile vile kupitia uongozi wa jiji wanatoa mikopo na elimu bure kwa watu wote wanaotaka kujikita katika ufugaji wa samaki wa mabwawa ili kuongeza kipato na kukuza uchumi wa wananchi. Na Jerome John. Wakazi wa jiji la Dodoma wametakiwa kuzitumia…
28 July 2026, 16:57
Elimu ya malezi yatajwa kuwa msingi wa familia imara
Malezi bora ni wajibu wa jamii nzima, wakisisitiza ushirikiano kati ya wazazi, walezi, shule na jamii kwa ujumla Na Daniel Njau. Wazazi na walezi wametakiwa kuimarisha ushiriki wao katika malezi ya watoto kwa kuhudhuria na kufuatilia vipindi vya malezi, hatua…
28 July 2026, 16:36
Homa ya ini inaweza kuingia mwilini bila kuonesha dalili
Ugonjwa huu unapoingia mwilini huendelea kuharibu ini taratibu hadi kulisababisha kusinyaa na baadaye kupelekea saratani. Na Jerome John Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Homa ya Ini leo Jumanne, Julai 28, wataalamu wa afya wameonya kuwa ugonjwa huo unaweza kuingia mwilini…
28 July 2026, 16:07
Wananchi Chang’ombe waiomba serikali kuboresha eneo la stendi
Utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa kituo cha mabasi utaondoa changamoto za msongamano, kuongeza usalama wa watumiaji wa kituo hicho na kuboresha huduma za usafiri, sambamba na kukuza shughuli za kiuchumi katika eneo la Chang’ombe na Jiji la Dodoma kwa…
27 July 2026, 16:59
Wanaume wahimizwa kufanya vipimo saratani ya tezi dume
Wananchi wameitaka serikali pamoja na wadau wa sekta ya afya kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu saratani ya tezi dume, wakiamini kuwa uhamasishaji wa mara kwa mara utasaidia kuongeza uelewa, kuondoa hofu ya kupima na kuwezesha wagonjwa wengi kugundulika mapema…