Dodoma FM

Recent posts

28 January 2026, 14:47

Wazee Dodoma waadhimisha siku ya Rais Samia kwa kupanda miti

Picha ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi na baadhi ya wazee wakipanda miti. Picha na Mariam Matundu. Zoezi la upandaji Miti mbele ya Ofisi ya Waziri Mtumba Jijini Dodoma limehusisha…

28 January 2026, 14:10

Serikali yasisitiza wajibu wa familia na jamii katika kuwahudumia wazee

Hata hivyo, amebainisha kuwa Serikali itaendelea kuhamasisha maadili ya uwajibikaji wa kifamilia na kuimarisha mifumo ya kijamii inayosaidia ustawi wa wazee nchini. Na Mariam Matundu. Serikali imesema haina haja ya kuweka sharti la kisheria linalowalazimisha watoto kuwahudumia wazazi wao wasiojiweza,…

28 January 2026, 13:10

Sheria yawalinda watoa taarifa za rushwa

Malecha amehitimisha kwa kusema kuwa ili kukabiliana na vitendo vya rushwa TAKUKURU imeendelea kutoa elimu kupitia vyombo vya habari na kutoa elimu shuleni kuanzia ngazi ya msingi hadi vyuo vikuu , huku akitoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na TAKUKURU…

28 January 2026, 12:38

Wananchi wahimizwa kuwa na utaratibu wa kupanda miti

Picha ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Dodoma, Sakina Mbugi akipanda mti katika shule ya msingi Mbwanga, jijini Dodoma. Picha na Lilian Leopold. Zoezi la upandaji wa miti limefanyika katika maeneo mbalimbali ya jiji ikiwemo shuleni, taasisi za umma na…

27 January 2026, 18:32

Stakabadhi ghalani kujenga imani kwa wakulima

Maadhimisho ya miaka ishirini yatafanyika mwezi wa 4,2026 , ambapo watashirikisha wadau waliokuwa wakifanya kazi pamoja na kuwapa elimu wanafunzi na wakulima kuhusu mfumo huo. Na Mariam Kasawa.Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Dennis Londo, amesema kuwa ujio mpya…

27 January 2026, 17:36

Uhuru wa kuzungumzia masuala ya uzazi wa mpango kwa vijana

Mariam Matundu amezungumza na vijana ili kufahamu uhuru wao katika kuzungumzia masuala ya uzazi wa mpango. Na Mariam Matundu. Leo katika Sanuka tunaangazia uhuru wa kuzungumzia masuala ya uzazi wa mpango hususan kwa vijana .

27 January 2026, 17:16

Waliovamia Engusero Andare, Kiteto waagizwa kuondoka

Aidha, ilielezwa kuwa eneo la Engusero Andare lilitengwa mahsusi kwa ajili ya jamii ya Wandorobo, ambao maisha yao yanategemea zaidi shughuli za asili ikiwemo uvunaji wa asali kama chakula chao kikuu. Na Kitana Hamis. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mheshimiwa…

27 January 2026, 16:49

Jiji la Dodoma kukusanya bil. 166 mwaka 2026/2027

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wamepata nafasi ya kutoa maoni na mapendekezo yao kuhusu bajeti hiyo, wakisisitiza umuhimu wa kuzingatia maslahi ya watumishi pamoja na kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani ili halmashauri iweze kutekeleza mipango yake kwa ufanisi. Na…

26 January 2026, 17:26

Wazee Msanga waiomba serikali msaada kupitia TASAF

Awamu ya mwisho ya mradi huo ilitamatika tangu mwezi Septemba mwaka jana hivyo wanasubiri awamu nyingine kama watapata fursa ya kusajili kundi lingine la wazee wasiojiweza. Na Victor Chigwada. Kutokana na ugumu wa maisha unaowakabili wazee wa kijiji cha Msanga,…

26 January 2026, 17:11

Serikali wilayani Mpwapwa yaingilia kati sakata la mtoto kupotea

Pamoja serikali kujitahidi kutoa Elimu kupitia vyombo mbalimbali lakin Bado wilaya ya Mpwapwa inakabiliwa na changamoto za wazazi au walezi kuwatoa watoto wao Kwenda mikoa ya mbali Kwa kazi za ndani  au kuchunga mifugo. Na Steven Noel. Hatimae serikali  wilaya…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger