Recent posts
16 July 2026, 16:47
Wananchi wa watakiwa kutunza miradi ya maendeleo
Ziara hiyo ni sehemu ya utaratibu wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, kutathmini ubora wa kazi zinazofanyika na kuhakikisha miradi hiyo inakidhi viwango vinavyotarajiwa pamoja na kutoa manufaa yaliyokusudiwa kwa wananchi. Na Anwary Shaban.…
16 July 2026, 16:28
Mgogoro wa ardhi wapelekea nyumba 15 kubomolewa
Zaidi ya nyumba 15 zimebomolewa katika Mtaa wa Mpamaa Block 7, Kata ya Miyuji jijini Dodoma, huku familia kadhaa zikibaki bila makazi na mali zao kuharibika. Na Bennard Filbert. Wakazi wa Mtaa wa Mpamaa Block 7, Kata yaMiyuji jijini Dodoma…
16 July 2026, 13:19
Wananchi watakiwa kuacha dhana potofu kuandika wosia
Jamii imehimizwa kufuata sheria na taratibu za mirathi pamoja na kuandika wosia mapema ili kulinda haki za warithi, kuimarisha amani ya familia na kuondoa migogoro inayoweza kuepukika. Na Anwary Shaban. Migogoro ya mirathi imeendelea kuwa chanzo cha migawanyiko katika familia…
16 July 2026, 12:23
Serikali yaombwa kufanyia tathmini shule ya msingi Ikombolinga
Amesema licha ya kupokea fedha za mfuko wa Jimbo kwaajili ya ukarabati wa shule hiyo bado pesa hizo hazikidhi mahitaji ya ukarabati wa shule hiyo. Na Victor Chigwada. Wakazi wa kijiji cha Ikombolinga Wilayani Chamwino wameiomba Serikali kufanya tathimini ya…
15 July 2026, 17:59
Jamii yatakiwa kutambua ukeketaji ni kitendo cha hatari
Jitihada hizo zinaendelea kuonesha dhamira ya serikali na wadau mbalimbali ya kuhakikisha ukeketaji unatokomezwa kabisa, huku wananchi wakihimizwa kushiriki kikamilifu katika kampeni za elimu na kutoa taarifa za vitendo hivyo ili kulinda afya, haki na mustakabali wa mtoto wa kike.…
15 July 2026, 17:43
Wataalam waonya unywaji pombe kali unavyotengeneza taifa la wagonjwa
Wataalamu wa Afya wameendelea kusisitiza umuhimu wa vijana kujishughulisha na shughuli za maendeleo badala ya kutumia muda mwingi katika unywaji wa pombe. Na Stephan Noel. Serikali na Asasi za Kiraia zimeshauriwa kuongeza jitihada za kutoa Elimu ya Afya kwa vijana…
14 July 2026, 17:39
Kiteto yafanikisha mapambano dhidi ya dawa za kulevya
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026, Ndg. Wazo Michael Mwang’onda, ameipongeza Wilaya ya Kiteto kwa jitihada za kudhibiti ulimaji na usafirishaji wa dawa za ,kulevya. Na Kitana Hamis. Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026 umewasili Wilayani Kiteto mkoani…
14 July 2026, 17:28
Jamii yatakiwa kuthamini utu wa Binadamu
Uongozi umesisitiza kuwa kila mwanadamu anastahili heshima na matunzo wakati wa uhai na hata baada ya kufariki. Na Steven Noel Uongozi wa mtaa wa Hazina Kata ya Vighawe Wilaya ya Mpwapwa umeiomba jamii kuthamini utu wa mtu na kumpatia haki…
14 July 2026, 17:18
Wanawake watakiwa kufanya shughuli za kujiingizia kipato
Kadiri wanawake wanavyoendelea kuvunja vikwazo na kushiriki katika sekta mbalimbali za uzalishaji, wito umetolewa kwa jamii kuendelea kuwaunga mkono na kuwapa fursa sawa, ili uwezo wao uweze kuchangia maendeleo ya familia, jamii na taifa kwa ujumla. Na Anwary Shaban. Wanawake…
14 July 2026, 10:12
Serikali kutumia mafunzo ya ujasiriamali kutengeneza bidhaa
Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji mkoani Morogoro, Beatrice Njawa, amesema mwandishi wa habari anaweza kuwa mtengenezaji wa bidhaa na mtumishi wa umma anaweza kuwa mjasiriamali na huo ndio mwelekeo wa taifa. Na Mwandishi wetu. Serikali imeahidi…