Recent posts
8 July 2026, 17:44
Wananchi Handali walalamika kucheleweshewa fidia
Jitihada za kumpata mhandisi wa maji Wilaya ya Chamwino kujibu malalamiko haya bado zinaendelea Na Victor Chigwada. Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Handali walio hama makazi yao na kupisha mradi wa maji wamelalamika kucheleweshewa malipo ya fidia zao. Wananchi…
8 July 2026, 17:33
Adha ya maji Mwanawota Mpwapwa hali yazidi kuwa tete
Kufuatia hali mbaya ya wananchi wa Kijiji cha Mwanawota ya shida ya maji, wameiomba serikali kuharakisha utekelezaji wa mradi wa maji ili kuwanusuru na magonjwa ya mlipuko yanayowakabili na migogoro inayoendelea. Na Stephen Noel. Wananchi wa Kijiji cha Mwanawota Kata…
8 July 2026, 16:03
Maafisa usafirishaji watakiwa kuzingatia sheria
Kwa mujibu wa takwimu za Serikali, hadi mwaka 2026 zaidi ya waendesha bodaboda na bajaji 209,632 walikuwa wamerasimishwa kupitia mifumo ya Serikali. Na Bennard Komba. Maafisa usafirishaji wa bodaboda na bajaji wametakiwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo ya nchi katika…
7 July 2026, 15:20
Tanzania yataka ushirikiano katika utawala wa akili unde
Alisisitiza kuwa kuziba pengo la kidijitali kutahitaji hatua za pamoja ili kuhakikisha manufaa ya Akili Unde yanagawanywa kwa usawa kati ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea. Na Mariam Matundu. Tanzania imetoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano wa kimataifa ili kuhakikisha maendeleo…
6 July 2026, 17:49
Mixx by Yas yaimarisha ushirikiano na vyama vya ushirika
Kampuni hiyo imeingia makubaliano na vyama vya ushirika kwani kampuni hii imekuwa mdau wa TCDC Kwa muda mrefu. Na Anwary Shaban. Kampuni ya Mixx by YAS Tanzania imeendelea kuimarisha ushirikiano na vyama vya ushirika nchini kwa kusaini hati ya makubaliano…
6 July 2026, 17:25
Aga Khan Foundation yaendelea kuyawezesha makundi maalum
Mafunzo hayo ni sehemu ya jitihada za kuongeza ushiriki wa makundi maalumu katika shughuli za uzalishaji na kuhakikisha wanapata fursa sawa za maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Na Anwary Shaban. Shirika la Aga Khan Foundation, kupitia mradi wa Tuinuke Pamoja,…
6 July 2026, 17:04
Vijana balehe wapatiwe elimu ya afya ya uzazi
Pia amewataka wazazi hususani wa kike kukaa pamoja na mabinti zao kuwaeleza madhara ya mimba za mapema na namna ya kujilinda dhidi ya mimba hizo. Na Jerome John. Mabinti wenye umri wa balehe wameshauriwa kupata elimu ya afya ya uzazi…
6 July 2026, 16:40
Adha ya maji Mwenzele wananchi wachangia vyanzo vya maji na wanyama
Wananchi wa Mwezele wameiomba Serikali kuharakisha utekelezaji wa miradi hiyo ili waweze kupata huduma ya maji safi na salama. Na Stephen Noel. Wananchi wa Kijiji cha Mwezele, Kata ya Mwezele Wilaya ya Mpwapwa, Mkoani Dodoma, wanasema maisha yao yamekuwa magumu…
3 July 2026, 16:54
Wanawake UWT watakiwa kushikamana na kuepuka migawanyiko
Wanachama wa umoja huo pia walimuomba Asia Abdallah kukubali kuwa mlezi wa umoja huo, ombi ambalo alilikubali, hatua inayotarajiwa kuimarisha zaidi uongozi na mshikamano wa umoja huo. Na Mwandishi wetu. MJUMBE wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)…
3 July 2026, 16:47
Wamachinga waungana kudumisha amani
Ameongeza kuwa biashara za wamachinga hutegemea mapato ya kila siku, hivyo uwepo wa mazingira ya amani na utulivu ni muhimu ili kuwawezesha wafanyabiashara kuendelea na shughuli zao bila usumbufu na kuhakikisha uchumi wao unaendelea kukua. Na Anwary Shabani. Wafanyabishara wa…