Recent posts
3 July 2026, 16:27
Wajasiriamali Mpwapwa watakiwa kuzingatia kanuni za biashara
Baadhi ya wajasiriamali walioshiriki mafunzo hayo wameishukuru WAPEDO Foundation kwa kuwawezesha. Wamesema elimu waliyoipata itawaongezea maarifa na kuwasogeza mbele kibiashara. Na Stephen Noel . Wajasiriamali Wilaya ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma, wametakiwa kuzingatia kanuni na taratibu za biashara ili waweze…
3 July 2026, 11:53
Mkenda ataka sayansi ilete matokeo kwa wananchi
Taasisi hiyo itaendelea kuunganisha utafiti, ubunifu na maendeleo ya kijamii na kiuchumi, huku Mfumo wa NISSTI ukitarajiwa kuwa jukwaa la kuwaunganisha watafiti na wavumbuzi nchini. Na Mariam Kasawa.Serikali imesema ni wakati wa kutathmini matumizi ya rasilimali zinazowekezwa katika utafiti na…
2 July 2026, 17:16
Serikali yaendelea kusisitiza huduma za usafi wa mazingira
Jukwaa hilo la siku mbili linaendelea hadi Julai 3, 2026, likiwakutanisha viongozi wa Serikali, wataalamu, wadau wa maendeleo na sekta binafsi kujadili namna ya kuimarisha huduma za usafi wa mazingira zinazowajumuisha watu wote kwa ajili ya maendeleo endelevu nchini. Na…
2 July 2026, 17:02
Jiji la Dodoma latangaza fursa za uwekezaji maonesho ya sabasaba
Akiongelea huduma zinazotolewa katika Banda la Halmashauri ya Jiji la Dodoma, alizitaja kuwa ni huduma zinazogusa wawekezaji na wafanyabiashara pamoja wananchi kwa ujumla wao. Na. Anwary Shaban. Halmashauri ya Jiji la Dodoma imejipanga kujitangaza kama kitovu cha uwekezaji, biashara na…
2 July 2026, 16:53
Tufikie Malengo ya 95-95-95 kutokomeza maambukizi mapya ya VVU
Mapambano dhidi ya UKIMWI ni suala mtambuka linalohitaji ushiriki wa kila idara. Na Stephen Noel. Jamii Wilaya ya Mpwapwa imetakiwa kuongeza juhudi katika kuzuia maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI na kuhakikisha watu wote waliogundulika wanaishi na virusi wanatumia dawa…
2 July 2026, 16:37
Wananchi watakiwa kuripoti matukio ya ukatili dhidi ya watoto
Kwa ujumla, wataalamu hao wameeleza kuwa ushirikiano wa wananchi katika kutoa taarifa kwa wakati, pamoja na kushirikiana na vyombo vya dola na watoa huduma za afya, ni hatua muhimu katika kuzuia na kupambana na ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi…
1 July 2026, 17:16
Kumaliza kifamilia matukio ya ukatili kunaathiri vipi upatikanaji wa haki
Kwa hiyo mzizi ni sheria, kama ya ndoa ambayo inaruhusu binti wa chini ya miaka 14 kuozwa kwa kibali cha mahakama, mzazi au mlezi. Unyanyasaji na ukatili kijinsia unaohusisha kutelekeza familia, vipigo, watoto kuozwa, kuingiliwa kinyume cha maumbile, mimba utotoni,…
1 July 2026, 16:57
Jamii yatakiwa kuwa na utaratibu wa kupima afya kila wakati
Kwa upande wake, mkazi wa Mpwapwa, Bi. Dorin Mbilinyi, amesema wananchi wengi hasa wa vijijini bado hawana uelewa wa kutosha juu ya upimaji wa afya. Na Stephen Noel. Jamii Wilayani Mpwapwa mkoni Dodoma imehimizwa kuwa na utaratibu wa kupima afya…
1 July 2026, 16:43
Mlima Mautia umebeba historia ya kipekee ya jiolojia nchini
Tanzania ina fursa ya kuyatumia kama kivutio cha utalii wa jiolojia na kuongeza mchango wa sekta ya utalii. Na Anwary Shaban. Mlima wa Mautia uliopo wilayani Kongwa mkoani Dodoma umetajwa kuwa moja ya maeneo yenye historia ya kipekee ya kijiolojia…
1 July 2026, 16:14
Watumiaji wa mifumo ya majitaka watakiwa kuwa na utu
Kampeni yake ya “Usafi wa Mazingira ni Utu” inayo tekelezwa na mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira DUWASA jijini Dodoma inaendelea kutoa Elimu kwa Umma na kuwataka watumiaji wa mifumo ya majitaka kuwa wastaarabu. Na Mariam Kasawa. Mamlaka…