Recent posts
26 June 2026, 15:01
Changamoto ya ajira chanzo cha vijana kukata tamaa
Vijana wengi wakiwa wamehitimu vyuo na shule za ufundi bado wanakaa nyumbani bila kazi yoyote. Na Steven Noel. Ajira ni haki na fursa muhimu kwa kila raia, hasa vijana ambao ndio nguvu kazi ya taifa na ndio kundi kubwa lenye…
26 June 2026, 14:52
Ifahamu ngoma ya Landaa inayochezwa wakati wa mavuno
Mwanafahari karibu uweze kufahamu mengi kupitia simulizi na tamaduni za makabila mbalimbali kupitia fahari ya Dodoma. Na Yussuph Hassan. Ngoma hii inafahamika kwa jina la Landaa mchezo wa ngoma hii ulichezwa kwenye matukio na sherehe yoyote lakini ngoma hii huchezwa…
26 June 2026, 13:01
Taasisi na mashirika yasiyo ya kiserikali yatakiwa kuzingatia sheria
Muongozo huo unatarajiwa kuimarisha utawala bora, uwajibikaji na ufanisi katika uendeshaji wa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini, sambamba na kuongeza mchango wao katika kuharakisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Na Anwary Shaban. Serikali imezitaka Taasisi na Mashirika yasiyo ya kiserikali…
26 June 2026, 12:48
Waziri Kapinga aipongeza Mainland kwa uwekezaji mkubwa
Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo maboresho ya sera, sheria na mifumo ya kodi ili kuvutia uwekezaji zaidi katika viwanda vya mafuta ya kula na kuongeza uzalishaji wa ndani. Na Mariam Kasawa.Serikali imeahidi kuendelea kuweka mazingira bora kwa wawekezaji katika…
25 June 2026, 17:56
Fahamu ngoma ya kabila la wasandawe wakati wa jando
Wanasema kwasasa elimu na sheria imesaidia kwa kiasi kikubwa kukomesha mila ya ukeketaji haipo tena hivyo ngoma hii huchezwa kabla na baada ya watoto wa kiume kwenda jando. Na Yussuph Hassan.licha ya kabila hili kuwa na aimba mbalimbali za ngoma…
25 June 2026, 17:26
Wachimbaji walalamika kukosa vifaa kinga
Kemikali migodini hutumika katika kuchuja, kutenganisha, na kuyeyusha madini kama dhahabu na shabakutoka kwenye miamba, pamoja na kutibu maji machafuKemikali kuu inayotumika ni Zebaki kwa wachimbaji wadogo. Na Victor Chigwada. Baadhi ya wachimbaji wadogo wadogo wa madini ya dhahabu katika…
25 June 2026, 17:06
Wananchi watakiwa kuzingatia lishe kwa afya
Maadhimisho ya Siku ya Afya na Lishe katika Kijiji cha Gawaye yamekuwa jukwaa muhimu la kuwajengea wananchi uelewa kuhusu umuhimu wa lishe bora, kinga dhidi ya magonjwa na matumizi sahihi ya huduma za afya, hatua inayotarajiwa kuimarisha ustawi wa jamii…
24 June 2026, 14:26
Polisi yaahidi kuendeleza ushirikiano na TAMESO T
Ushirikiano kati ya serikali, wataalamu wa afya na waganga wa tiba asilia unatajwa kuwa hatua muhimu katika kuhakikisha huduma za afya zinaboreshwa huku vitendo vinavyochochewa na imani potofu vikidhibitiwa kwa manufaa ya jamii. Na Anwary Shaban. Jeshi la Polisi nchini…
24 June 2026, 13:48
Unyanyapaa sababu kubwa waraibu kurudia matumizi ya dawa za kulevya
Serikali imekuwa ikisisitiza kuwa hakuna mwanafunzi anayepaswa kufukuzwa, kuzuiwa kufanya mtihani au kunyimwa huduma za msingi kwa sababu ya kutotoa mchango wa hiari. Na Elizabeth Mwailunga. Imeelezwa kuwa miongoni mwa sababu za baadhi ya waraibu wa dawa za kulevya kurejea…
24 June 2026, 11:24
EWURA CCC yaendelea kulinda na kutetea watumiaji huduma za nishati na maji
Eneo lingine lililopatiwa kipaumbele ni uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi ya kupikia, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kufanikisha lengo la Taifa la kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034. Watumiaji wa huduma…