Recent posts
14 May 2026, 16:38
Wazazi watakiwa kuendelea kuwalinda watoto dhidi ya mitandao
Vile vile kupitia sheria ya mtoto kifungu cha 9 kinaeleza wajibu wa mzazi au mlezi kumlinda mtoto dhidi ya ukatili,udhalilishaji na mazingira yanayoweza kumdhuru. Na Jerome John. Wazazi na walezi mkoani Dodoma wamekumbushwa kuendelea kuwalinda watoto wao dhidi ya matumizi…
14 May 2026, 16:15
Wananchi Engusero waandamana kupinga kuondolewa kwenye maeneo yao
Wananchi wa Engusero wameendelea kusubiri majibu na ufafanuzi wa kina kutoka kwa mamlaka husika kuhusu mustakabali wa maeneo yao, huku wakisisitiza kuwa wanahitaji suluhisho la kudumu litakalowawezesha kuendelea kuishi kwa amani na kuendeleza shughuli zao za maendeleo. Na Kitana Hamis.…
14 May 2026, 15:58
Mfumuko wa bei za bidhaa waathiri maisha ya wananchi
kupanda kwa bei ya bidhaa kunatoka na bei ya usafirishaji wa bidhaa kuwa juu pamoja na kiwango kidogo cha uzalishaji wa bidhaa kutoka viwandani. Na Firdaus Makame. Wananchi jijini Dodoma wamelalamikia kupanda kwa bei za bidhaa hususani bei ya vyakula…
13 May 2026, 17:49
Mitazamo hasi inakwamishaje vijana kujiingizia kipato?
Masuala ya Kijamii Masuala ya kijamii kama vile ukatili wa kijinsia, ndoa za utotoni, na mimba za mapema pia ni masuala muhimu kwa vijana nchini Tanzania. Kwa mfano, takribani asilimia 37 ya wasichana nchini Tanzania wanaozwa kabla ya kufikia umri…
13 May 2026, 17:15
Stanbic wakabidhi vifaa tiba RRH, BMH na Mirembe
Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na shuka 300, glovu 150 za upasuaji, sindano 450 na paketi 90 za vifaa vya upasuaji. Na Mariam Kasawa. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma amepokea na kukabidhi vifaa tiba kwa hospital tatu za Mkoa wa Dodoma…
13 May 2026, 16:51
Taka ngumu ni mali tumia rejea weka mji safi
Mkutano huu ukalete tija kwa maafisa mazingira wote kwa kutoa Elimu na kuelimisha Jamii kwa ujumla juu ya maswala ya Taka. Na Anwary Shaban. Wananchi wametakiwa kutambua kuwa Taka ngumu ni mali, hivyo wanaweza kuzitumia na kuzirejeleza ili kuweka mji…
13 May 2026, 16:12
Mgogoro wa miaka 20 wapata suluhu Kibaigwa
Aidha, Wakili Onyango amesema pande zote mbili zimesaini hati ya makubaliano kama uthibitisho wa kuhitimisha rasmi mgogoro huo. Na Mariam Kasawa. Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Awamu ya Pili) imefanikiwa kumaliza mgogoro wa ardhi uliodumu…
12 May 2026, 17:44
Wananchi walalamika kupanda kwa gharama za maisha
Kupanda kwa bei ya mafuta kumewaathiri kwa kiasi kikubwa kwani baadhi yao wamejikuta wakipokonywa pikipiki. Na Firdaus. Wananchi jijini Dodoma wamelalamikia kupanda kwa gharama za maisha hali inayopelekea biashara kukwama na maisha kuwa magumu. Taswira ya habari imetembelea mitaa ya…
12 May 2026, 16:59
Daraja jipya suluhisho kwa wakazi Nzali, Chilonwa
Naye, Meneja wa Wakala wa Barabara mkoa wa Dodoma mhandisi Zuhura Amani amesema kukamilika kwa daraja hilo kutamaliza changamoto ya mawasiliano ya muda mrefu katika barabara ya Chamwino- Dabalo Itiso -Chinene Km 70 ambayo inaunganisha barabara ya Morogoro na Arusha.…
12 May 2026, 16:36
Kausha damu chanzo cha migogoro ya ndoa Mpwapwa
Aidha ametoa wito Kwa Wananchi kuzingatia taratibu za kisheria Ili kupunguza migogoro au kuepuka kuingia Katika makosa ya jinai. Na Stephen Noel . Wananchi wa wilaya ya Mpwapwa wamejitokeza kupata msaada wa kisheria unaotolewa na timu ya mama Samia Legal…