Recent posts
28 January 2026, 12:38
Wananchi wahimizwa kuwa na utaratibu wa kupanda miti
Picha ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Dodoma, Sakina Mbugi akipanda mti katika shule ya msingi Mbwanga, jijini Dodoma. Picha na Lilian Leopold. Zoezi la upandaji wa miti limefanyika katika maeneo mbalimbali ya jiji ikiwemo shuleni, taasisi za umma na…
27 January 2026, 18:32
Stakabadhi ghalani kujenga imani kwa wakulima
Maadhimisho ya miaka ishirini yatafanyika mwezi wa 4,2026 , ambapo watashirikisha wadau waliokuwa wakifanya kazi pamoja na kuwapa elimu wanafunzi na wakulima kuhusu mfumo huo. Na Mariam Kasawa.Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Dennis Londo, amesema kuwa ujio mpya…
27 January 2026, 17:36
Uhuru wa kuzungumzia masuala ya uzazi wa mpango kwa vijana
Mariam Matundu amezungumza na vijana ili kufahamu uhuru wao katika kuzungumzia masuala ya uzazi wa mpango. Na Mariam Matundu. Leo katika Sanuka tunaangazia uhuru wa kuzungumzia masuala ya uzazi wa mpango hususan kwa vijana .
27 January 2026, 17:16
Waliovamia Engusero Andare, Kiteto waagizwa kuondoka
Aidha, ilielezwa kuwa eneo la Engusero Andare lilitengwa mahsusi kwa ajili ya jamii ya Wandorobo, ambao maisha yao yanategemea zaidi shughuli za asili ikiwemo uvunaji wa asali kama chakula chao kikuu. Na Kitana Hamis. Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mheshimiwa…
27 January 2026, 16:49
Jiji la Dodoma kukusanya bil. 166 mwaka 2026/2027
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wamepata nafasi ya kutoa maoni na mapendekezo yao kuhusu bajeti hiyo, wakisisitiza umuhimu wa kuzingatia maslahi ya watumishi pamoja na kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani ili halmashauri iweze kutekeleza mipango yake kwa ufanisi. Na…
26 January 2026, 17:26
Wazee Msanga waiomba serikali msaada kupitia TASAF
Awamu ya mwisho ya mradi huo ilitamatika tangu mwezi Septemba mwaka jana hivyo wanasubiri awamu nyingine kama watapata fursa ya kusajili kundi lingine la wazee wasiojiweza. Na Victor Chigwada. Kutokana na ugumu wa maisha unaowakabili wazee wa kijiji cha Msanga,…
26 January 2026, 17:11
Serikali wilayani Mpwapwa yaingilia kati sakata la mtoto kupotea
Pamoja serikali kujitahidi kutoa Elimu kupitia vyombo mbalimbali lakin Bado wilaya ya Mpwapwa inakabiliwa na changamoto za wazazi au walezi kuwatoa watoto wao Kwenda mikoa ya mbali Kwa kazi za ndani au kuchunga mifugo. Na Steven Noel. Hatimae serikali wilaya…
26 January 2026, 16:52
Bil 10.5 kunufaisha wafanyabiashara ndogondogo zaidi ya 100,000
Vilevile, Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake unaendelea kutoa mikopo kwa riba nafuu ya asilimia 4. Kupitia TAMISEMI, vikundi zaidi ya 6,000 vimenufaika na mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 33. Na…
26 January 2026, 15:23
Mikakati yabainishwa kuhakikisha wanafunzi wanahitimu masomo
Wazazi wameshauriwa kushirikiana walimu shuleni kufuatilia maendeleo ya watoto na kuanzisha kampeni za uhamasishaji kuhusu athari za kuolewa mapema kwa wasichana. Na Anwary Shabani. Imeelezwa kuwa baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakishindwa kumaliza masomo yao kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo umaskini,…
23 January 2026, 15:56
Wahamiaji wasiofuata sheria kuchukuliwa hatua
Sheria hiyo inakataza mtu yeyote kuingia au kukaa nchini bila kibali, kuingia kwa njia zisizo rasmi au kuendelea kukaa baada ya muda wa kibali kuisha, hali inayomfanya atambulike kama mhamiaji haramu na kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo faini, kifungo au…