Recent posts
23 June 2026, 16:33
Wananchi watakiwa kutunza mazingira kuepuka magonjwa
Iwapo hatua za usafi wa mazingira hazitachukuliwa kwa wakati, magonjwa hayo yanaweza kusababisha madhara makubwa kwa jamii, ikiwemo kulazwa hospitalini na hata kupoteza maisha, hivyo akasisitiza umuhimu wa kila mwananchi kushiriki katika kutunza usafi wa mazingira yanayomzunguka. Na Daniel Njau.…
22 June 2026, 17:02
Simulizi ya Vilindoni na uimara wa vihenge vya jadi
Uimara wa vihenge hivi umefanya viwepo hadi leo katika eneo hilo na kufanya eneo hilo kuitwa Vilindoni. Na Yussuph Hassan.Historia ya Vilindoni inaonesha kuwa eneo hili limekuwepo kwa muda mrefu kama makazi ya watu waliotegemea kilimo na ufugaji kwa maisha…
22 June 2026, 16:41
Tanzania, Ujerumani zatekeleza mradi wa maji wa bil. 60.7
Aidha Dkt Natu Amesema kuwa mradi huo utakuwa na mchango mkubwa katika kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi wa maeneo yatakayofikiwa. Na Anwary Shaban. Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Ujerumani imeingia makubaliano ya utekelezaji wa…
22 June 2026, 16:18
Vijana miaka 13 hadi 35 wahanga matumizi dawa za kulevya
Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 26 Juni. Na Elizabeth Tanzania Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA) imeeleza kuwa matumizi ya dawa za kulevya ni changamoto kubwa…
19 June 2026, 18:33
Serikali yahimiza uwekezaji katika Tafiti na ubunifu nchini
Prof. Mkenda ametoa wito kwa watafiti, wahadhiri na wadau wa elimu kutumia fursa hiyo kuwasilisha tafiti zenye tija kwa jamii, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanategemea kwa kiasi kikubwa matumizi ya sayansi, teknolojia na ubunifu katika kutatua changamoto za wananchi.…
19 June 2026, 18:26
Mradi wa maendeleo jumuishi ya kijani wazinduliwa Dodoma
Agridiversity Tanzania ni shirika lisilo la kiserikali (NGO) la Tanzania linalojihusisha na kuendeleza kilimo endelevu kwa wakulima wadogo. Na Elizabeth Tanzania. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amezindua Mradi wa Maendeleo Jumuishi ya Kijani (Inclusive Green Transformation – IGRET),…
19 June 2026, 18:12
Wasio julikana waiba milango ya vyoo vya shule
Halmashauri ilitenga fedha na kukamilisha ujenzi wa vyoo vya wanafunzi katika Shule ya Msingi Ubembeni. Na Kitana Hamis. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa, Mhe. Saidi Majaliwa, amesema Halmashauri ilitenga fedha na kukamilisha ujenzi wa vyoo vya wanafunzi katika…
18 June 2026, 18:07
Wakulima wasisitizwa umuhimu wa mfumo wa stakabadhi ghalani
Katika hatua nyingine, Mhe. Senyamule amewaahidi wakulima kuwa serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi yatakayowasaidia kukuza na kuimarisha sekta ya kilimo. Na Mariam Kasawa. Wakulima wa kata ya Dabalo jijini Dodoma waamesisitizwa umuhimu wa matumizi ya mfumo wa stakabadhi ghalani kwa…
18 June 2026, 17:56
Serikali kuendelea kuimarisha tahadhari dhidi ya Ebola
Wananchi wametakiwa kuendelea kufuata maelekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya na kutoa taarifa mapema wanapobaini mtu mwenye dalili zinazofanana na Ebola ili kusaidia juhudi za Serikali za kulinda afya za Watanzania. Na Anwary Shaban. Serikali imeendelea kuimarisha hatua za tahadhari…
18 June 2026, 17:43
Wafanyabiashara watakiwa kutoa ushirikiano kwa Zimamoto
Kwa mujibu wa Sheria ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lina jukumu la kufanya ukaguzi wa kinga na tahadhari za moto katika maeneo mbalimbali ili kuzuia majanga na kulinda maisha pamoja na mali za wananchi.…