Dodoma FM

Recent posts

30 June 2026, 17:49

Unapambana vipi na ‘sogea tuishi’ za utotoni?

Bado ipo haja ya kutafuta ufumbuzi zaidi kwenye suala la ukatili wa kijinsia hasa uwepo wa ndoa za utotoni, ambao umekuwa ukikatisha ndoto za watoto wa kike katika elimu na pia kuhataria afya zao. Na Mariam Kasawa. Utafiti mpya wa…

30 June 2026, 17:27

Simboo ngoma ya Wasandawe inayochezwa na watu wenye mashetani

Mwana fahari bado tupo kijiji cha Farkwa wilayani chemba ambapo wakazi wa eneo hili ni watu wa asili ya kabila la wasandawe. Na Yussuph Hassan Katika simulizi ya aina mbalimbali ya ngoma za kabila hili la wasandawe wanasema kwa sasa…

30 June 2026, 17:04

Dodoma watakiwa kutunza mazingira

Shughuli hiyo ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kuhamasisha jamii kushiriki katika utunzaji wa mazingira na kuongeza uoto wa asili. Na Anwary Shaban. Mkuu wa Kitengo cha Maliasili na Mazingira katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Happiness Karugaba,…

30 June 2026, 16:47

Sekta ya bima kuchangia asilimia 3 ya pato la taifa

TIRA inaendelea kusimamia sekta ya bima kwa kulinda maslahi ya wateja na kuimarisha huduma, ikiwa ni sehemu ya kufikia lengo la serikali la asilimia 3 ya Pato la Taifa ifikapo mwaka 2030. Na Bennard Filbert. Kufikia mwaka 2030, Serikali inalenga…

29 June 2026, 17:52

Gharama kubwa ya vifaa kikwazo kwa watu wenye ulemavu kuchangamkia fursa

Hata hivyo, wapo watu wenye ulemavu ambao wameweza kujiajiri na kuendesha shughuli mbalimbali za kiuchumi, wakionyesha kuwa kwa kupata mazingira na msaada unaofaa wanaweza kufanikiwa kama wengine. Na Daniel Njau. Baadhi ya wananchi wanasema watu wenye ulemavu bado wanakabiliwa na…

29 June 2026, 17:34

Ufugaji wa kisasa fursa Kwa wanawake Mpwapwa

Elizabeth Pagama ni mwana kikundi cha ufugaji amesema wanatumia fursa ya uwepo wa ofisi za taasisi ya TALIRI Kikombo  kujua mbinu za ufugaji bora. Na Stephen Noel . Zamani ufugaji ulionekana kama kazi ya wanaume tu lakini kadri Siku zinavyozidi…

26 June 2026, 16:21

Serikali yaendelea kuchukua hatua kuimarisha huduma za ustawi wa jamii

Watu wenye ulemavu waliofikiwa wakiwa 3,266 lengo ni kuwajengea uwezo wazazi na walezi ili kuhakikisha watoto wanapata malezi bora. Na Mariam Matundu.Serikali imeendelea kuchukua hatua za kuimarisha ustawi wa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi kwa kuratibu vikao shirikishi vya kijamii…

26 June 2026, 15:51

Maadhimisho Siku ya Ushirika kufanyika Julai 3-4 Dodoma

Siku ya Ushirika Duniani huadhimishwa kila mwaka Jumamosi ya kwanza ya mwezi Julai. Mwaka huu, maadhimisho hayo yatafanyika Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete kuanzia Julai 3 hadi 4. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya…

26 June 2026, 15:41

Michezo ni sehemu muhimu katika ukuaji wa mtoto

Hata hivyo, baadhi yao wameonya kuwa michezo inaweza kuwa na hatari iwapo watoto watacheza bila uangalizi wa watu wazima. Na Daniel Njau.Michezo imeendelea kutajwa kuwa sehemu muhimu katika ukuaji wa watoto, huku wananchi wakisema huwasaidia kuwa wachangamfu, kujifunza kushirikiana na…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger