Recent posts
21 January 2026, 13:52
Njia za uandaaji shamba kuongeza uzalishaji
Aidha, utafiti huo unaeleza kuwa ingawa 41.3% ya kaya hutumia mbegu bora, 79.6% bado hutegemea mbegu za asili, hali inayochangia kiwango kidogo cha tija. Na Lilian Leopold. Wakulima jijini Dodoma wametakiwa kuzingatia njia sahihi za uandaaji wa shamba, ikiwemo kupima…
20 January 2026, 18:03
Wawekezaji Nayu wasaidia kuboresha huduma za kijamii
kumekuwa na ushirikiano wa karibu baina ya wawekezaji na wananchi hivyo imekuwa rahisi wananchi kunufaika na misaada kutoka Kwa wawekezaji hao. Na Victor Chigwada. Wananchi wa Kijiji cha Nayu Kata ya Dabalo Wilayani Chamwino wametoa pongezi Kwa wawekezaji wa migodi…
20 January 2026, 17:47
Mitazamo hasi kwa vijana kwenda veta ipuuzwe
Serikali na wadau wa elimu wanaendelea kutoa wito kwa wazazi na walezi kuwahamasisha vijana kujiunga na vyuo vya ufundi stadi, kama njia mbadala ya kukabiliana na tatizo la ajira nchini. Na Anwary Shaban.Jamii imetakiwa kuachana na mitazamo hasi kuhusu kuwapeleka…
20 January 2026, 15:47
Kanda namba tatu wafanya ziara ufuatiliaji wa miradi ya elimu
Ziara hiyo imewahusisha viongozi wa kanda namba 3 pamoja na viongozi mbalimbali za serikali kutoka kata ya Zuzu. Na Lilian Leopold. Viongozi wa kanda namba tatu wafanya ziara ya ufuatiliaji wa miradi ya elimu inayotekelezwa katika shule ya sekondari Zuzu…
19 January 2026, 15:58
Wafanyabiashara Ving’awe waiomba serikali kuwaboreshea soko
Milioni 36 ya wafanyakazi Tanzania, milioni 25.95 sawa na 71.8% wanafanya kazi katika sekta isiyo rasmi. Na Steven Noel.Wafanyabiashara soko dogo la Vighawe, wilaya ya Mpwampwa jijini Dodoma wameiomba serikali kuwaboresha miundombinu ya soko na kuwawezesha upatikanaji wa mikopo nafuu…
19 January 2026, 15:33
Wagombea 67 wachukua fomu uongozi soko la Machinga
Uchaguzi wa viongozi katika soko hilo unatarajiwa kufanyika Januari 24, 2026. Na Lilian Leopold. Jumla ya wagombea 67 wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika soko la wazi la Machinga Complex jijini Dodoma. Nafasi zinazowaniwa ni pamoja…
19 January 2026, 15:09
Wananchi watakiwa kujitokeza kupata elimu kuhusu anwani za makazi
Mfumo huo unarahisisha utambuzi wa makazi, ufuatiliaji wa huduma muhimu pamoja na kuchochea maendeleo ya mijini na vijini. Na Anwary Shaban.Katika kuelekea kongamano la Anwani ya Makazi litakaloanza Februari 02 hadi 08 jijini Dar es salaam wananchi wametakiwa kujitokeza kwa…
16 January 2026, 15:27
Vodacom kutoa kipaumbele kwa wenye mahitaji maalum
Besiimire amesema duka hilo ni mkombozi kwa wakazi wa Mkoa wa Dodoma na mikoa jirani iliyo katika Kanda ya Kati kutokana na kuboreshwa kwa huduma zake. Na Yussuph Hassan. Kampuni ya Mtandao wa Simu ya Vodacom imesema imejipanga kuhakikisha inatoa…
16 January 2026, 15:05
Baadhi ya kaya Nayu zakabiliwa na njaa
Wananchi wamesema baadhi ya kaya kijijini hapo wanaishi wazee ambao hawawezi kumudu gharama za manunuzi ya chakula cha kila siku. Na Victor Chigwada. Baadhi ya maeneo katika mkoa wa Dodoma yanakabiliwa na upungufu wa chakula kwa sasa licha ya msimu…
16 January 2026, 14:40
Sheria zizingatiwe ili kulinda uraia
Vile vile Mrakibu msaidizi Muhina amewataka wananchi waliopewa uraia kwa mujibu wa sheria waendelee kutii sheria pasipo kukiuka utaratibu waliopewa ili wasiweze kupoteza hadhi ya kuwa raia wa Tanzania. Na Jerome John. Wananchi ambao ni raia wa Tanzania wametakiwa kuheshimu…