Recent posts
8 December 2025, 16:28
Uwajibikaji, ushirikiano, weledi vyatajwa kuwa nguzo muhimu kwa madiwani
Picha ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaji Jabir Shekimweri katika mkutano wa kwanza wa Baraza la Madiwani. Picha na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya. Shekimweri amesisitiza umuhimu wa madiwani kushirikiana na watendaji wa halmashauri katika kutekeleza miradi ya…
5 December 2025, 16:11
Ukosefu wa maabara Igandu wananchi watibiwa bila vipimo
Aidha ameongeza kuwa hali hiyo inawalizimu kusafiri kilomita kadhaa kwenda vituo vya afya vya kata jirani ili kupata vipimo zaidi. Na Victor Chigwada.Imeelezwa kuwa kukosekana kwa maabara katika zahanati ya Igandu Wilaya ya Chamwino imepelekea baadhi ya wananchi kupewa matibabu…
5 December 2025, 15:49
Muungano waomba serikali kukarabati barabara
Kutokufanya ukarabati na uchongaji wa barabara ni kuwatesa wananchi ambao wanahitaji miundombinu iliyokamilika. Na Victor Chigwada.Diwani wa Kata ya Muungano Wilaya ya Chamwino ameiomba Serikali kuingilia kati changamoto ya miundombinu ya barabara inayo ikabili kata hiyoili kurahisha huduma za kijamii.Akizungumzia…
5 December 2025, 14:40
Serikali yatakiwa kusimamia ubunifu na uvumbuzi wa vijana
Muandishi wetu Benard Komba amefanya mahojiano na Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na Jamii Ismail Mussa ameanza kumuuliza Je Ni vipi vipaumbele vikuu katika wizara hiyo ikiwa ni wizara mpya? Na Bennard Filbert.Serikali kupitia wizara ya vijana ofisi ya Rais…
4 December 2025, 15:44
Upi umuhimu wa lishe bora kabla ya ujauzito kwa mama na mtoto?
Kwa mujibu wa Tanzania Demographic and Health Survey (TDHS), kiwango cha udumavu kwa watoto chini ya miaka mitano kimeshuka kutoka asilimia 34 mwaka 2015 hadi wastani wa asilimia 30 mwaka 2022. Na Yussuph Hassan. Wanawake wameshauriwa kuzingatia lishe hasa kabla…
4 December 2025, 13:20
Vijana waomba elimu zaidi kukabili maambukizi ya VVU
Vijana wenye umri wa miaka 15–24 bado wako katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), huku vijana wa kike wakichangia takribani asilimia 80 ya maambukizi mapya. Picha na Mtandao. Miongoni mwa sababu nyingine ambayo inaelezwa ni…
4 December 2025, 12:43
Uuzaji holela wa nyama hatari kwa wakazi wilayani Kiteto
Baadhi ya wauzaji wamekuwa wakiuza nyama ambayo haijapimwa na wataalamu wa mifugo hali ambayo ni hatari kwa walaji wa nyama hiyo. Na Kitana Hamis. Wananchi Wilayani Kiteto mkoani Manyara wamelalamikia uuzwa holela wa nyama hali inayo hatarisha afya za walaji.…
4 December 2025, 11:47
Makundi maalum kuwezeshwa kushiriki miradi ya kiuchumi
Kongamano hilo limeelezwa kuwa muhimu katika kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu haki na ushiriki wa watu wenye ulemavu kwenye maamuzi ya kiuchumi. Na Farashuu Abdallah. Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu imetenga zaidi ya shilingi trilioni moja kwa ajili ya…
3 December 2025, 17:03
Wanaume watakiwa kuwa mstari wa mbele kukomesha ukatili
Taswira ya Habari imefanya mazungumzo na mkuu wa dawati la jinsia na Watoto polisi wilaya ya Dodoma na hapa anaanza kwa kueleza ukatili wa kijinsia ninini. Na Mariam Matundu. Katika kuendelea kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia wanaume…
3 December 2025, 16:24
Maafisa usafirishaji watakiwa kuzingatia elimu matumizi vyombo vya moto
Amewataka vijana kujitahidi kupata elimu na uelewa wa jinsi kuendesha vyombo vya moto pamoja na kufahamu sheria zza barabarani kala ya kuingia barabarani kuendesha vyombo hivyo. Na Daniel Njau. Maafisa usafirishaji almaarufu kama Bodaboda Jijini Dodoma wametakiwa kuzingatia kanuni za…