Recent posts
28 November 2025, 18:16
Dodoma FM Yazungumza na Wataalamu; Ukatili wa Kijinsia Mtandaoni Dhidi ya Wanawa…
Udhalilishaji, kusambazwa kwa picha au video bila ridhaa, na vitisho kupitia mitandao ya kijamii vimekuwa vikiongezeka. Katika ulimwengu wa kidigitali, wanawake wameendelea kuwa wahanga wakuu wa ukatili wa kijinsia mtandaoni. Vitendo vya matusi, udhalilishaji, kusambazwa kwa picha au video bila…
28 November 2025, 15:31
Wananchi Pandambili walalamikia kukosa huduma ya umeme
Ukosefu wa umeme katika kijiji hicho umekuwa ukiathiri shughuli zao, kwani hulazimika kwenda kijiji cha jirani kupata huduma mbalimbali ikiwemo huduma ya mashine kwa ajili ya kusaga unga. Na Farashuu Abdallah.Wananchi wa kijiji cha Pandambili A wilayani Kongwa mkoani Dodoma…
28 November 2025, 14:18
Wananchi watakiwa kuchangamkia fursa za serikali
Ni vyema wananchi wakachangamkia fursa zinazotolewa na Serikali ikiwemo fursa ya mikopo kwa lengo la kujikwamua kiuchumi. Na Mariam Matundu.Wananchi wametakiwa kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali kwa lengo la kujikwamua kiuchumi. Wito huo umetolewa tarehe 27 Novemba na Naibu waziri…
27 November 2025, 15:53
Chamwino yazindua kampeni kuelekea siku 16 za kupinga ukatili
Itakumbukwa kuwa Maadhimisho haya hufanyika kila mwaka kuanzia Novemba 25 hadi Desemba 10 kote duniani. Na Seleman Kodima.Halmashauri ya Chamwino imezindua kampeni na kutoa elimu kuelekea maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia duniani, katika Kijiji cha Mjelo,…
27 November 2025, 15:20
Gwajima atoa wito kwa wazazi usalama wa watoto mtandaoni
Wadau wa maendeleo wanaotekeleza afua za usalama wa watoto mtandaoni wameahidi kuendelea kushirikiana kwa karibu na Serikali ili kuhakikisha watoto wanalindwa dhidi ya aina zote za ukatili, hususan ukatili wa mtandaoni. Na Mariam Matundu.Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake…
27 November 2025, 14:04
Wakazi Chinugulu wataka elimu ya kuzuia tembo kuvamia mashamba
Pamoja na hayo Wananchi wa Chamwino wamesisitiza kuwa elimu ya kitaalamu kuhusu namna ya kukabiliana na tembo itasaidia kupunguza madhara na kuimarisha usalama wa jamii pamoja na mazao yao. Wananchi wa vijiji vya Chinugulu na Manda, tarafa ya Mpwayungu, Wilaya…
26 November 2025, 15:33
Wananchi wahimizwa kudumisha amani
Kuwa kulinda amani ni jukumu la kila Mtanzania na ni msingi muhimu wa kuendeleza umoja. Na Anwary Shaban.Wananchi katika Jiji la Dodoma na Watanzania kwa ujumla wamehamasishwa kuendelea kulinda na kudumisha amani ya nchi muda wote. Kauli hiyo imetolewa jijini…
26 November 2025, 15:12
Wakazi wa Pandambili wakabiliwa na uhaba wa maji
Ikumbukwe kuwa Kupitia bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2025/26, Serikali imepanga kuimarisha miradi ya maji vijijini, kujenga mabwawa mapya, na kuongeza uwezo wa miundombinu ya maji ili kukidhi ongezeko la watu na kupunguza adha ya kutembea umbali mrefu…
26 November 2025, 14:04
Bodaboda si njia ya mkato kwa kila kijana kufanikiwa
Hata hivyo, sekta hii inakabiliwa na changamoto za usalama, ushindani, gharama za uendeshaji na mahitaji ya kisheria. Na Mariam Kasawa.Vijana wametakiwa kujituma katika shughuli mbalimbali ili kujikwamua kiuchumi na kuacha kuamini kwamba kazi ya bodaboda ni suluhisho pekee kwa kila…
26 November 2025, 13:44
Udogo wa Tenki wapelekea adha ya maji Mzula
Wameeleza kuwa tatizo hilo linawaathiri zaidi akina mama na kuhatarisha afya za jamii. Na Victor Chigwada.Maji ni uhai, lakini wakazi wa Kijiji cha Mzula, kata ya Muungano, Wilaya ya Chamwino, bado wanakabiliana na changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo muhimu…