Recent posts
14 January 2026, 15:10
Hospitali ya Rufaa Dodoma yapokea ugeni kutoka Malawi
Ujio wa ugeni huu unalenga kuimarisha ushirikiano wa kiafya kati ya Malawi na Tanzania, pamoja na kuchochea ubadilishanaji wa uzoefu miongoni mwa wataalamu wa afya. Na Mariam Kasawa. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Afya Januari…
14 January 2026, 14:50
‘Kushiriki shughuli za maendeleo ni wajibu kwa mwananchi’
Sheria ya Serikali za Mitaa Sura ya 287 ( Mamlaka za Serikali za Mitaa- Wilaya) na Sura ya 288 ( Mamlaka za Serikali Mitaa- Miji) zinatambua na kusisitiza wananchi katika kupanga na kutekeleza miradi ya maendeleo, kuhudhuria mikutano ya vijiji…
14 January 2026, 14:05
Msanga na watakaoshindwa kuripoti kidato cha kwanza
Hatua hii inakuja ili kukabiliana na changamoto ya baadhi ya wazazi kuwapeleka watoto wao mjini kufanya kazi za nyumbani, jambo ambalo limekuwa kikwazo katika kupata elimu kwa watoto waliofaulu kujiunga na shule za sekondari. Na Victor Chigwada. Wakati muhula mpya…
13 January 2026, 16:36
Wazazi watakiwa kuhakikisha watoto wanaripoti shuleni mapema
Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Dodoma mh. Rosemery Senyamule Idadi ya Wanafunzi wanaotarajiwa kuanza Muhula Mpya wa Masomo 2026 ulio anza leo kwa elimu ya awali ni 79, 131, darasa la kwanza kwa shule za msingi ni wanafunzi…
13 January 2026, 16:22
Wakulima Dodoma watakiwa kujikita katika kilimo cha umwagiliaji
Wadau wa kilimo jijini Dodoma wanasema kuwa kuwekeza katika kilimo cha umwagiliaji ni njia sahihi ya kukabiliana na changamoto ya ukame, kuongeza uzalishaji wa mazao na kuhakikisha usalama wa chakula kwa sasa na siku zijazo. Na Anwary Shaban.Wakulima Jijini Dodoma…
13 January 2026, 14:33
Mila, desturi kikwazo saratani shingo ya kizazi
Kwa mujibu wa utafiti wa Demographic and Health Survey (DHS), kiwango cha uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi nchini Tanzania bado ni kidogo, ambapo ni takribani asilimia 7 tu ya wanawake ndiyo wamewahi kupimwa, hali iliyo chini ya lengo…
13 January 2026, 13:50
Ukosefu wa maji safi waibua hofu Matembwe
Wakazi hao wamekumbwa na hofu kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwani maji ya mvua yanayotiririka kutoka maeneo mbalimbali yanachanganyika na maji ya mto huo, hali inayoleta hofu ya matumizi ya maji yasiyo safi na salama. Na Victor Chigwada. Wakazi wa…
13 January 2026, 13:27
Ukosefu wa elimu ya fedha changamoto kwa vijana
Picha ni mmoja wa wanufaika wa mkopo wa asilimia 10 kata ya Kizota jijini Dodoma. Picha na Dodoma FM. Lengo la mkopo wa asilimia 10 wa halmashauri ni kusaidia vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, ili kukuza maendeleo…
12 January 2026, 15:13
Uchaguzi viongozi soko la Machinga na matumaini kedekede
Kufuatia kukamilika kwa zoezi la uandikishaji kuelekea uchaguzi wa viongozi wa soko hilo wafanyabiashara soko la wazi la Machinga Complex wamesema matarajio yao ni kuwa na viongozi wawajbikaji. Na Mariam Kasawa. Wafanyabiashara wa Soko la Wazi la Machinga wameeleza matumaini…
12 January 2026, 14:34
Maafisa usafirishaji Dodoma walalamikia mikataba kandamizi
Aidha wamebainisha kuwa kutokana na kukosa elimu ya kisheria ndo maana wanakumbana na mrorongo wa kukiukwa kwa makubaliano dhidi ya wamiliki wa pikipiki hizo na kujikuta wanashindwa kuzimiliki hizo pikipiki. Na Jerome John. Maafisa usafirishaji (boda boda) mkoani Dodoma wamelalamikia…