Dodoma FM

Recent posts

9 January 2026, 14:41

Wananchi Dodoma waridhishwa na huduma ya malipo ya viwanja

Picha ni baadhi ya wananchi waliojitokeza halmashauri ya jiji la Dodoma kuchukua namba kwa ajili ya malipo ya viwanja. Picha na Lilian Leopold. Hatua hiyo inatekelezwa kufuatia notisi ya siku 21 iliyotolewa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma kuanzia tarehe…

8 January 2026, 16:46

Wakazi Nholi wataka uwazi wa mapato ya mgodi

Wameeleza kuwa uwazi wa mapato na matumizi yatokanayo na shughuli za uchimbaji wa madini katika mgodi wa Nholi ni jambo la msingi katika kuimarisha uwajibikaji na ushiriki wa wananchi katika masuala ya maendeleo ya kijiji. Na Victor Chigwada. Wakazi wa…

8 January 2026, 16:25

Wazazi, walezi wahimizwa kusaidia mabadiliko ya tabia kwa vijana

Akihitimisha, Mtahu amebainisha mikakati ya KISEDETI ikiwemo kuendelea kuandaa programu za malezi salama, kuwatambua na kuwafuatilia watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani pamoja na kuanzisha mashamba darasa, hatua zinazolenga kupunguza idadi ya watoto na vijana wanaoishi na kufanya kazi mitaani…

8 January 2026, 16:04

Wizara ya Katiba na Sheria yasaini makubaiano na UDOM na LSF

Baadhi ya wadau waliojitokeza katika hafla ya utiaji saini hati za makubaliano ya ushirikiano katika Chuo Kikuu cha Dodoma jijini Dodoma na Wizara ya Katiba na Sheria pamoja na Shirika la Legal Services Facility (LSF). Picha na Anwary Shabani. Makubaliano…

8 January 2026, 15:39

Umbali wa shule changamoto kwa vitongoji vya Mgokoo, Mailimbili

Changamoto ya umbali wa shule, inayowalazimu wanafunzi kutembea umbali mrefu na wakati mwingine kuvuka barabara, jambo linalohatarisha usalama wao na kusababisha baadhi yao kukata tamaa na kuacha shule. Na Victor Chigwada. Ikiwa zimesalia siku chache kabla ya shule za msingi…

8 January 2026, 15:01

Wataalam Jiji la Dodoma wakagua ujenzi wa vyoo Chiwondo

Picha ni ujenzi wa matundu ya vyoo unaoendelea katika Shule ya Msingi Chiwondo iliyopo Kata ya Nala jijini Dodoma. Picha na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya. Shule hiyo ilitengewa kiasi cha shilingi 17,200,000 kwa ajili ya ujenzi wa matundu 18…

7 January 2026, 16:20

Wazazi, walezi wasiopeleka watoto shule kuchukuliwa hatua kali

Picha ni Afisa Elimu kata ya Mazae alipokuwa akizungumza na baadhi ya wazazi na walezi  wa watoto waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza. Picha na Steven Noel. Serikali imesisitiza kuwa kuwapeleka watoto katika ajira, hususan kazi za ndani, ni kosa la…

7 January 2026, 15:37

Wananchi Mpalanga waomba huduma ya maji safi na salama

Ukosefu wa maji safi na salama umekuwa ukiwaathiri zaidi wanawake na watoto, kutokana na kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya maji safi. Picha na Mzalendo. Kutokana na ukosefu wa maji safi na salama wananchi wanakabiliwa na hatari ya kiafya kwani…

7 January 2026, 15:13

TAHEA yawaandaa vijana kujikwamua kiuchumi

Picha ni Zaituni Ally Liyendikiye, Afisa Mradi kutoka Shirika la TAHEA, katika kipindi cha Dodoma Live. Picha na Noah Patrick. Shirika la TAHEA linaendelea kutoa wito kwa wadau mbalimbali kushirikiana katika kuwawezesha vijana, ili kujenga jamii yenye vijana wenye afya,…

7 January 2026, 14:25

Mbwa wanaozagaa mitaani Dodoma wageuka tishio kwa wananchi

Malalamiko haya yanakuja baada ya wananchi kudai kuwa tayari walishawasilisha tatizo hilo kwa uongozi wa serikali za mitaa, lakini hadi sasa hakuna jitihada zozote zilizofanyika kudhibiti mbwa hao. Na Lilian Leopold. Wananchi wa mtaa wa Miyuji Proper, kata ya Miyuji …

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger