Dodoma FM

Recent posts

24 July 2023, 2:04 pm

Mwarobaini vifo vya wajawazito Bahi wapatikana

Hatua hii ni muhimu ambapo takwimu zinazokusanywa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini zinaonesha vifo vitokanavyo na uzazi vimeendelea kupungua kutoka vifo 1,640 mwaka 2020 hadi vifo 1,580 mwaka 2021. Na Seleman Kodima. Vifo vya akina mama wajawazito…

24 July 2023, 1:10 pm

Mpango matumizi ya ardhi kupitia LTIP kiboko ya migogoro ya ardhi

Mradi wa Uboreshaji wa milki salama za ardhi  utawezesha haki kupatikana  na kufanikisha uwepo wa ushirikiano wa familia kati ya mume na mke na upatikanaji wa hati za kimila . Na Seleman Kodima. Viongozi wa serikali za Mitaa wametakiwa kutoa ushauri…

21 July 2023, 5:25 pm

Historia ya kilimo cha mpunga wilayani Bahi

Msimuliaji wetu anaendelea kutufahamisha kuanzishwa kwa mashamba haya na lini yalianzishwa. Na Yussuph Hassan. Tunaendelea kuangazia  historia ya wilaya ya Bahi na leo tutafahamu historia ya mashamba ya mpinga katika wilaya hii.

21 July 2023, 4:48 pm

Kaizer Chiefs kucheza na Yanga kesho

Karibu upate habari za michezo kutoka hapa Nchi Tanzani zikisimuliwa kwako na mwana michezo wetu Rabiamen Shoo. Na Rabiamen Shoo. Kikosi cha Kaizer chiefs ‘Amakhosi’ kimetua Tanzania kwa ajili ya Mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga kwenye Kilele cha Wiki…

21 July 2023, 3:10 pm

Serikali yaendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini

Ziara hiyo ambayo ilianzia shule ya sekondari Chilonwa kwaajili ya kukagua ujenzi wa vyumba vya madarasa na Mabweni ilihitimishwa shule ya Msingi mizengo pinda ambapo benki ya NMB ilikuwa ikikabidhi vifaa mbalibali vya ujifunzaji shuleni hapo iliwemo viti na vifaaa…

20 July 2023, 7:39 pm

Wananchi waomba kupatiwa elimu utunzaji wa macho

Kwa mujibu wa wataalam wa afya ya macho wanasema kuwa upo umuhimu mkubwa kwa watu kuwa na mazoea ya kupima afya ya macho mara kwa mara kutokana na macho kuwa moja ya kiungo muhimu katika utendaji wa kazi wa kiumbe…

20 July 2023, 5:06 pm

Ifahamu maana halisi ya jina Bahi

Kila jina huwa na maana au asili je jina Bahi lina maana gani na asili yake ni nini? Na Yussuph Hassan. Wilaya ya Bahi ni mojawapo kati ya wilaya saba za mkoa wa Dodoma. Wilaya hii ilianzishwa rasmi mwaka 2007…

20 July 2023, 4:18 pm

Mashujaa kuadhimishwa kwa mara ya kwanza mji wa kiserikali Mtumba

Mkuu wa mkoa wa Dodoma amesema maadhimisho hayo yamekamilika kwa asilimia 100 ambapo amesisitiza wananchi kujitokeza kwa  wingi kwa ajili ya kuadhimisha siku hii muhimu ambayo inafanyika kwa mara ya kwanza katika kiwanja kipya kilichopo eneo la Mtumba. Na Mariam…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger