Recent posts
4 March 2026, 16:30
BASATA yawataka wasanii nchini kujirasimisha
Semina hiyo imelenga kuwajengea uwezo viongozi wa makundi katika maeneo ya uongozi itifaki,elimu ya fedha ,urasimishaji pamoja na matumizi sahihi ya fursa mbalimbali kuelekea Tamasha la 17 la muziki wa kitamaduni wa asili ya chigogo. Na Anwary Shaban. Baraza la…
3 March 2026, 16:38
Elimu ya itifaki yasisitizwa Dodoma
“Dhamira yetu ni kujenga utamaduni wa kuzingatia itifaki katika sekta zote na kuhakikisha huduma hii inawafikia watumishi wengi zaidi,” amesema Sijabeja. Na Mariam Kasawa.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amezitaka taasisi za Serikali na Binafsi kuwapeleka Maafisa Habari…
3 March 2026, 16:23
Wanawake jitokezeni kupata hati miliki ardhi
Serikali ya awamu ya sita imetoa kipaumbele kwa wanawake kuanzia umri wa miaka 18 na kuendelea kupata hati za umiliki wa ardhi. Na Yusuph Hassan.Wanawake Mkoani Dodoma wanaomiliki ardhi wametakiwa kujitokeza katika zoezi la kuchukua hati za umiliki kupitia kliniki…
3 March 2026, 15:31
MOI yafanikisha huduma za kibobezi kwa wagonjwa 10,000
Huduma zingine ni za tiba ya maumivu, huduma ya upasuaji rekebishi wa viungo vilivyopooza, huduma ya upasuaji wa uvimbe na ubongo kwa kutumia teknolojia ya fluorescein na kuanza kwa wodi mpya za kisasa za ‘premier’ kwa ajili ya wagonjwa maalum…
3 March 2026, 12:50
Taasisi Dodoma zapata siku 3 za kusikiliza kero
Amesema kauli mbiu ya “Keroyako, wajibuwangu” imeboreshwa na sasa KAULI MBIU NI KERO YAKO,WAJIBU WANGU,TABASAMU NA DKT SAMIA ili kuendana na dhamira ya Serikali ya kuona Watanzania wanapata furaha na huduma bora. Na Ibrahim Jamal. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,…
2 March 2026, 18:09
Bajeti ya mwaka 2026/2027 Jiji la Dodoma kuweka mkazo katika miradi ya maendeleo
Kwa ujumla, kikao hicho kimeweka msisitizo katika usimamizi madhubuti wa fedha za umma, kukamilisha miradi ya maendeleo na kuimarisha miundombinu ya jiji, hatua inayotarajiwa kuongeza ufanisi wa huduma na kuchochea maendeleo ya wananchi wa Dodoma. Na Anwary Shaban. Baraza la…
2 March 2026, 17:45
Walio vamia eneo la kimila Mapinduzi A watakiwa kuondoka mara moja
Wananchi wote walio vamia na kujikatia vipande katika eneo hilo kabla ya kusubiri kutolewa na mamlaka wametakiwa kuondoka mara moja. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa hapo awali ili kulinda mazingira ya eneo la kimila Kwa wakazi wa Mapinduzi A waliunda…
2 March 2026, 16:52
Wawezeshaji sekondari watakiwa kuwa na nidhamu na uwajibikaji shuleni
Mafunzo hayo yanatarajiwa kuwajengea wanafunzi maarifa, ujuzi na mitazamo chanya itakayowawezesha kujitambua, kujiamini na kufanya maamuzi sahihi. Na Mariam Kasawa. Wawezeshaji wa Stadi za Maisha katika Shule za Sekondari watakiwa kuwa na nidhamu ya hali ya juu katika taaluma yao…
27 February 2026, 17:03
Chinyika waiomba serikali kutatua kero ya maji
Aidha amewahimiza wakazi wa Chinyika wajitokeze kwa wingi katika mkutano utakaofanyika kesho Na Farashuu Abdallah. Wakazi wa mtaa wa Chinyika kata ya Mkonze jijini Dodoma wameiomba serikali kutatua changamoto ya maji ambayo imekuwa ni kero ya muda mrefu. Wakizungumza na…
26 February 2026, 17:46
Serikali kuimarisha elimu ya malezi
Serikali inataka kukuza ustawi wa jamii, malezi bora ya watoto na afya ya akili, ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wananchi wanapata elimu na huduma zinazowawezesha kuishi maisha yenye ustawi na tija. Na Mwandishi wetu.Serikali imesema itaendelea kuimarisha malezi ya watoto…