Recent posts
19 February 2026, 16:54
Wakazi walalamikia ubovu wa barabara za mitaani
Mhe Ringo amewaonya wananchi ambao wanajenga uzio na kuziba mitaro ya maji kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa kwani. Jerome John. Wananchi wa kata ya Miyuji halmashauri ya jiji la Dodoma wametakiwa kuwa wavumilivu katika kipindi hiki cha mvua baada ya…
19 February 2026, 16:24
Wakazi walia na uharibifu wa mazingira
Viongozi wa eneo hilo wamelalamikiwa kushindwa kuwachukulia hatua wahusika wa uharibifu wa mazingira hayo. Na Steven Noel. WAKAZI WA Kitongoji cha Mcheula Kijiji cha Idilo kata ya Mazae wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma wamelalamikia matokeo ya uharibifu wa mazingira katika…
18 February 2026, 16:55
TCRA yaimarisha dawati la huduma kwa wateja
Changamoto na mapendekezo yao kwa haraka zaidi, huku mifumo ya kidijitali ya ufuatiliaji ikihakikisha mawasiliano yanakuwa ya wakati na yenye tija. Na Yussuph Hassan.Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeimarisha Dawati la Huduma kwa Wateja pamoja na mifumo ya ufuatiliaji wa…
18 February 2026, 16:31
Wafanyabiashara watakiwa kuzingatia sheria matumizi ya leseni
Afisahuyo amesisitiza juu ya suala la kuzingatia sheria zote zinazo husu ufanyaji wa biashara ili kuwapa uwanja mpana wakufanya biashara zao kwa uhuru. Jerome John. WafanyabiasharaMkoani Dodoma watakiwakuzingatia suala la leseni za biashara zao kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.…
18 February 2026, 16:02
Senyamule asisitiza umuhimu wa lishe kwa watoto
Kwa mujibu wa takwimu za kikao hicho, mkoa wa Dodoma umeendelea kuimarisha utekelezaji wa afua za lishe, huku juhudi zaidi zikielekezwa katika kuongeza uelewa wa jamii na kuboresha huduma kwa watoto wa shule za msingi na sekondari. Na Anwary Shaban.…
17 February 2026, 17:12
Wananchi watakiwa kuwaripoti viongozi wanaokiuka maadili
Mwananchi yeyote anao wajibu wa kutoa taarifa inayo muhusu kiongozi wa umma ambaye ameonesha mwenendo usio faa katika jamii na kiongozi huyo kuchukuliwa hatua za kinidhamu pindi atakapo gundulika kuwa ni kweli ametenda kosa la kimaadili. Na Jerome John. Wananchi…
17 February 2026, 16:47
Zao la zabibu kuanza kutangazwa nchini Burundi
Kuanza kutangazwa kwa zao la zabibu nchini Burundi kumefurahisha baadhi ya wachakataji na wazalishaji wa mvinyo, na kusema kuwa watajitahidi kuzalisha bidhaa zenye ubora na viwango vya kimataifa . Na Mariam Kasawa. Balozi wa Tanzania nchini Burundi Mhe. Gelasius G.…
17 February 2026, 16:33
Wanafunzi Ihumwa wahimizwa kusoma kwa bidii kabla ya mitihani
Wanafunzi wapatao 212 walio fanya mtihani wa kidato Cha nne mwaka Jana wamefanikiwa kupata ufaulu wa madaraja manne kati ya 216 ambapo waliopata daraja la kwanza ni 18, daraja la pili 55, daraja la tatu wakiwa 43 na Daraja la…
17 February 2026, 15:27
Ving’awe waiomba serikali kutimiza ahadi ya kuwapatia maeneo
Kwa upande wake mtendaji wa Kijiji hicho Bi. Rehema Kihimba amesema wameanza kupanda miti kwenye eneo hilo ili kuzuia mmomonyoko . Na Steven Noel. Wananchi wa kata ya Vig’hawe mtaa wa majengo na hazina wameiomba serikali kutimiza ahadi ya kuwapatia…
16 February 2026, 16:31
Vijiji 80 vyapimwa kupunguza migogoro ya wakulima na wafugaji
Moja ya chanzo kikubwa cha migogoro hiyo ni baadhi ya wafugaji kuhama mara kwa mara wakitafuta malisho. Na Kitana Hamis. Waziri wa kilimo Daniel Chongolo amesema bado kuna changamoto ya migogoro kati ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Handeni…