Recent posts
11 February 2026, 12:13
COP 30: Kilimo funika, tumaini jipya kwa wakulima wa maeneo kame
Kadri dunia inavyoelekea COP 30, simulizi za wakulima wa Kongwa na kijiji cha Chololo zinaendelea kuonyesha kuwa suluhisho la mabadiliko ya tabianchi lipo mashambani. Kinachohitajika sasa ni uwekezaji katika teknolojia rafiki kwa wakulima, ili mbinu hizi endelevu ziweze kutumika kwa…
10 February 2026, 17:05
ITU yaitaja Tanzania kuwa kinara usalama mtandaoni
Maadhimisho ya Siku ya Usalama Mtandaoni yanaendelea kutumika kama jukwaa muhimu la kuelimisha jamii juu ya matumizi salama ya teknolojia ya habari, huku Tanzania ikiendelea kuimarisha nafasi yake katika usimamizi wa usalama wa mtandao kikanda na kimataifa. Na Anwary Shaban.Tanzania…
10 February 2026, 16:28
Kamati ya siasa Chamwino yaridhishwa ujenzi wa mradi wa maji
Kukamilika kwa Mradi huo utaongeza upatikanaji wa Majisafi kutoka asilimia 91 ya sasa hadi asilimia 100 na utaenda kuhudumia wananchi zaidi ya 59,085 katika eneo la kihuduma la DUWASA katika Mji wa Chamwino, ambapo Kata 4 zenye jumla ya Vijiji…
10 February 2026, 12:14
Nyumba zilizopanda miti Iyumbu zakabidhiwa vyeti
Amewasisitiza wananchi kuzingatia sheria ya kuzuia mifugo kuzurura ovyo mitaani kwnai inachangia kwa kiasi kikubwa uharibifu wa mazingira. Na Mariam Kasawa.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amekabidhi vyeti kwa kaya zilizofanya vizuri kwenye zoezi la upandaji miti nyumba…
10 February 2026, 11:51
Wananchi Ihumwa wataka suluhisho wizi wa mifugo
Hayo yana jiri ikiwa ni siku chache tangu familia moja kuibiwa Ngombe wote walio kuwa zizini katika kitongoji Cha Ilolo kata ya Ihumwa. Na Victor Chigwada.Changamoto ya wizi wa mifugo imebua sauti za wakazi wa Mtaa wa Ihumwa na viunga…
10 February 2026, 10:57
Bwawani waiomba serikali kukarabati barabara za mitaa
Wananchi wa mtaa wa Bwawani wanaendelea kutoa wito kwa serikali za mitaa na mamlaka husika kuhakikisha miundombinu ya barabara inaboreshwa ili kuwawezesha kuendelea na shughuli zao kwa urahisi, hususan katika kipindi hiki cha mvua. Na Anwary Shaban.Wakazi wa mtaa wa…
10 February 2026, 10:37
Serikali yatoa mwelekeo wa kuongeza mbegu himilivu
Kwa Tanzania na nchi nyingine zinazokabiliwa na ukame, uwekezaji katika mbegu himilivu na kilimo kinachostahimili mabadiliko ya tabianchi si hiari tena—ni hitaji la dharura. Na Mariam Kasawa. Katika miaka ya karibuni, mabadiliko ya tabianchi yameendelea kuitikisa dunia, yakiacha athari kubwa…
6 February 2026, 12:48
Posta kutumia wataalam wa lugha za alama
Hatua ya Shirika la Posta Tanzania kuanza kutumia wataalam wa lugha ya alama inatajwa kuwa mfano wa kuigwa kwa tasisi zingine za umma katika kuhakikisha haki ya kupata huduma inazingatia kila mwananchi bila ubaguzi. Na Anwary Shaban. Shirika la Posta Tanzania…
6 February 2026, 11:54
Viti kutoka uwanja wa Benjamin Mkapa kufungwa Jamhuri Dodoma
Hayo yamebainishwa na Meneje wa uwanja huo Hussein Muhando wakati akizungumzia ujio wa viti hivyo. Na Hamis MakilaJumla ya viti 5,500 kutoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa vinatarajiwa kufungwa katika uwanja wa Jamhuri Dodoma mwanzoni mwa mwezi wa March mwaka…
6 February 2026, 11:29
Ramadhan cup kufanyika Dodoma
Ada ya usajili katika mashindano hayo ikiwa ni shilingi 35,000/= ambapo mwisho wa usajili katika mashindano hayo ni tarehe 15. Na Hamis Makila.Jumla ya Timu 16 zinatarajiwa kushiriki Michuano ya Ramdhani Cup katika viwanja vya @theafricandreamsarena , michuano itakayo anza…