Recent posts
5 February 2026, 17:06
Watakiwa kuwafuata wenye ulemavu mikopo ya 10%
Kwagilwa ametoa kauli hiyo bungeni Jijini Dodoma, akijibu maswali ya wabunge kuhusu utoaji wa mikopo hiyo. Na Mariam Kasawa. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri na…
5 February 2026, 16:47
Tanzania yapiga hatua kubwa matumizi ya nishati safi ya kupikia
Uzinduzi wa mradi wa nishati safi ya kupikia katika shule ya sekondari Bunge Wasichana Mkoani Dodoma umeenda sambamba na uzinduzi wa klabu ya kwanza ya masomo ya nishati safi ya kupikia kwa ajili ya kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya…
5 February 2026, 16:27
Agha Khan Foundation yazindua mradi wa tuinuke pamoja
Uzinduzi wa mradi wa Tuinuke Pamoja unalenga kukuza uchumi wa wanavikundi mbalimbali ikiwemo makundi maalumu, huku serikali ikiahidi kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kuwaunga mkono wananchi kupitia vikundi vilivyojisajili, ikiwemo vikundi 57 ambavyo tayari vimesajiliwa hadi sasa wilayani Kondoa.…
4 February 2026, 12:14
Madiwani Mpwapwa waijia juu TARURA
TARURA imetakiwa kuzingatia upangaji wa majeti ili kurahisisha wilaya hiyo kuboreshewa miundombinu kwa urahisi. Na Steven Noel.Baraza la madiwani Katika halmashauri ya Mpwapwa waitaka Wakala wa barabara vijijini TURURA wilayani humo kuzingatia upangaji wa bajeti zao kutokana na uhitaji wa…
4 February 2026, 11:36
Mpwapwa wakabidhi mkopo wa mil. 228 kwa wanawake, vijana
Mala baada ya halmashauri hiyo Kutangaza dilisha la mkopo walipokea maombi ya zaidi ya bilioni Moja kitu kinakinacho ashiria kuwepo Kwa uhitaji mkubwa wa mkopo huo kwa jamii. Na Steven Noel.Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa mkoa wa Dodoma imekabithi jumla…
30 January 2026, 17:32
Airtel yazindua minara mitano mipya nchini
Airtel Tanzania inaendelea kuipa kipaumbele upanuzi wa mtandao kama sehemu ya dhamira yake ya kukuza ujumuishi wa kidijitali, kuhakikisha wananchi wote nchini wanapata huduma za simu na intaneti zenye uhakika, gharama nafuu, na ubora wa juu. Na Bennard Komba Kampuni…
30 January 2026, 17:19
Waliovamia chanzo cha maji Mbuyuni watakiwa kuondoka
Zoezi la upandaji miti katika chanzo cha maji cha Mbuyuni ni sehemu ya mkakati wa pamoja kati ya serikali na DUWASA wa kulinda mazingira nakuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wakazi wa Wilaya ya Kongwa. Na Anwary Shaban.…
30 January 2026, 14:29
Wananchi Mnase waomba elimu zaidi ya nishati safi
Picha ni Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi akifungua Baraza Kuu la 55 la Wafanyakazi wa TANESCO. Picha na Wizara ya Nishati. Serikali imeweka malengo ya kuhakikisha angalau 80 % ya kaya za Tanzania zinatumia nishati safi ya kupikia kufikia…
30 January 2026, 13:46
Wananchi Dodoma wahimizwa kuwekeza kibiashara
Picha ni Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri wakati akizungumza katika kikao cha Baraza la Biashara la Wilaya ya Dodoma. Picha na Dodoma City Tv. Katika kikao hicho, Shekimweri amelipongeza baraza hilo kwa kazi…
29 January 2026, 14:18
Waziri Mkuu aonya kupandisha bei za vyakula
Dkt. Mwigulu amesema pia kuwa serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) inaendelea kusambaza chakula katika maeneo yenye uhitaji ili kuhakikisha Watanzania wanapata chakula cha kutosha. Na Mariam Kasawa. Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewaagiza wafanyabiashara wa…