Recent posts
26 September 2025, 15:28
Tume ya utumishi wa umma kutoa maamuzi ya rufaa 108 jijini Dodoma
Miongoni mwa sababu zinazojitokeza mara kwa mara katika rufaa hizo ni pamoja na Kukiuka maadili ya utumishi wa umma,Kughushi vyeti au kutoa taarifa za uongo,Uzembe kazini,Wizi wa mali za umma Na Seleman Kodima.Tume ya Utumishi wa Umma inatarajia kutoa maamuzi…
26 September 2025, 15:07
MTAKUWWA kutoa elimu juu ya madhara ya ajira kwa watoto
Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) Halmashauri ya Jiji la Dodoma umefanya kikao kwaajili ya kuandaa mpango wa kuelimisha jamii na kuhakikisha watoto wanaenda shule na kuepuka mazingira hatarishi ya ajira zisizo rasmi. Na…
26 September 2025, 14:14
Uzembe kisheria unavyoharibu mazingira Dodoma
Msikilizaji, leo tunazungumzia Kutotekelezwa kwa sheria ya usimamizi wa mazingira ya mwaka 2004 sura 20 kufungu cha 114-116 kumesababisha kulundikana kwa taka za majumbani katika mitaa ya Chanagnyikeni, Kibaoni na St Gemma katika kata ya Miyuji Jijini Dodoma. Na Mariam…
26 September 2025, 12:41
VEO Paranga watakiwa kuwajibika kwa wananchi
Hatua hizi zinakuja baada ya Shirika la AFNET kwa kushirikiana na Ofisi ya TAKUKURU wilayani Chemba na Kamati ya Ufuatiliaji ngazi ya jamii, kuendesha zoezi la kubaini miradi ya kufuatilia katika vijiji vya Kelema Kuu na Sori mwezi Agosti mwaka…
25 September 2025, 16:22
Sauti ya tiba sehemu ya nne
Karibu katika igizo la sauti ya tiba sehemu ya nne uweze kujifunza na kuburudika kupitia Dodoma fm redio.
25 September 2025, 16:01
Zimamoto Dodoma yaendelea na upanuzi wa barabara ndani ya masoko
Upanuzi wa barabara unafanyika kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa huduma za dharura pindi majanga yatakapojitokeza. Na Lilian Leopold.Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dodoma Septemba 24, 2025 limeendelea na zoezi la kupanua barabara ndani ya masoko ambapo limefanyika…
25 September 2025, 15:06
Wajibu wa wazazi, walezi katika elimu ya afya ya uzazi kwa vijana
Mikakati kama vile elimu ya kina ya afya ya uzazi kwa vijana, upatikanaji wa huduma rafiki za afya, na ushirikishwaji wa jamii katika kubadili mitazamo potofu kuhusu mimba za utotoni inahitajika. Na Mariam Matundu. Wazazi na walezi wana wajibu wa…
25 September 2025, 13:58
Elimu afya ya uzazi inavyoepusha mimba za utotoni
Wasichana walio katika hatari kubwa ya kupata mimba wapatiwe motisha ili kuwasaidia kumaliza shule kama vile malipo ya kifedha au programu za masomo. Na Mariam Kasawa. Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni WHO limetoa mwongozo mpya wa kimataifa unaolenga kuzuia…
25 September 2025, 13:32
Ipi nafasi ya mwanamme kwa mwanawake wanawania nafasi za uongozi?
Hakuna shaka kuwa ili kufikia usawa wa kijinsia, wanawake wanahitaji kujiandaa kwa namna ya kipekee na kujipanga vizuri zaidi katika kupata nafasi za uongozi. Ingawa vyama vya siasa vimeanzisha mikakati ya kuwawezesha wanawake, bado kuna upungufu wa ufanisi katika utekelezaji…
24 September 2025, 18:28
Wananchi watakiwa kuzingatia sheria ya mirathi
Komba ameitaka jamii kwa ujumla kutafuta ushauri wa kisheria mapema wanapokutana na changamoto zinazohusiana na mirathi, ili kuhakikisha haki za warithi zinatimizwa na mgogoro wowote unatatuliwa kwa mujibu wa sheria. Na Joseph Julius.Wananchi jijini Dodoma wametakiwa kuzingatia masharti ya sheria…