Recent posts
20 September 2025, 09:47
Weledi, maadili nyenzo muhimu ulinzi wa mwandishi wa habari
Baraza la Habari Tanzania MCT September 18 mwakahuu 2025 limewakutanisha wadauwa Habari kwa lengo la kujenga uhusiano mzuri kwa taasisi za serikali na waandishi wa Habari ili kuwezesha kazi ya wanahabari katika kuhabarisha umma pamoja na kujadili masuala ya ulinzi…
18 September 2025, 16:49
Elimu ya haki za watoto wasaidia kukabiliana na ukatili wa kijinsia
Ikumbukwe kwa jukwaa la msichana cafe limewakutanisha wawakilishi kutoka mikoa minne ambayo ni Dar es salaam,Dodoma,Pwani na Tabora ambapo lengo kuu ni kujadili changamoto wanazokutanazo wawakilishi hao. Na Seleman Kodima. Utoaji wa elimu kwa jamii kuhusu haki za mtoto wa…
18 September 2025, 13:58
Wanahabari watakiwa kuzingatia maadili kuelekea uchaguzi mkuu
Waandishi wa habari wametakiwa kutambua kuwa wana haki ya kuripoti habari zote za uchaguzi bila ubaguzi wowote. Na Mariam Kasawa. Tume ya haki za binadamu na utawala bora imewataka waandishi wa habari kuzingatia maadili kuepuka lugha za matusi, takrima na…
18 September 2025, 13:22
Jamii iachane na mila, desturi zenye madhara-Ndoboka
Tunachokipinga ni mila zinazokandamiza na kuumiza baadhi ya makundi katika jamii kwani tunaelewa kwamba kuna mila na desturi ambazo zinazofaa na zinajenga misingi ya jamii husika na maadili ya kitanzania”amesema Neema. Na Mariam Matundu.Serikali inaendelea na juhudi za kuchochea maendeleo…
18 September 2025, 13:03
Karibu kusikiliza igizo la sauti ya tiba sehemu ya pili
karibu Katika igizo la sauti ya Tiba sehemu yapili uweze kujifunza na kuburudika kupitia igizo hili.
16 September 2025, 15:33
UDOM yafungua rasmi mafunzo ya akili unde (AI)
Lengo kuu ni kuongeza uelewa na matumizi ya teknolojia ya Akili unde katika shughuli za maendeleo nchini. Na Seleman Kodima.Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimezindua rasmi mafunzo ya Akili Unde(AI), kwa kushirikisha wanafunzi pamoja na taasisi mbalimbali kutoka sekta binafsi…
16 September 2025, 15:08
Ajifanya mwanamke ili kumfanyia mtihani mpenzi wake
Je, nini kilipelekea kijana huyu ajiingize katika matatizo ili tu kumsaidia mpenzi wake? Fuatana nasi katika vjimambo. Leo katika vijimambo tupo nchini Uganda ambapo tunakutana na kisa cha kijana mmoja kujifanya mwanamke ili amfanyie mpenzi wake mtihani.
16 September 2025, 14:46
Dodoma jiji wapo tayari kuivaa KMC
Wamewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi ili kuwasapoti katika mchezo huo. Kocha wa timu ya Dodoma jiji ameeleza maandalizi yao kuelekea mchezo wao na KMC unaotarajiwa kuchezwa hapo kesho ambapo amesema tayari wachezaji wamejiandaa vizuri licha ya kufahamu kuwa ni mchezo…
16 September 2025, 14:27
Ndogowe waiomba serikali kukamilisha uchimbaji wa kisima
Serikali iliweka ahadi ya kuchimba kisima sambamba na ujenzi wa bwawa ambalo litawanufaisha wakazi wa eneo hilo Kwa kilimo cha umwagiliaji lakini bado haijateleza ahadi hiyo hadi leo. Na Victor Chigwada.Wakazi wa Kijiji cha Ndogowe Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma…
16 September 2025, 12:49
Tunaendelea na mtitiriko wa kipindi cha sauti ya tiba
Bado tunaendelea na mfululizo wa mchezo wa redio wa Sauti ya tiba sehemu yapili. Karibu uweze kujifunza kupitia mchezo huu ambao unalenga mambo mbalimbali yanayo ihusu jamii , mfululizo wa igizo hili unaupata kupitia Dodoma fm .