Recent posts
10 November 2025, 13:20
Safari ya binti Fanikiwa kutoka katika matumizi ya Skanka
Awali, nilikutana na Fanikiwa na kukuandalia taarifa hii fupi, ikieleza jinsi mdogo wake alivyomsaidia kuachana na matumizi hayo na kuanza upya maisha yenye matumaini. Na Seleman Kodima.Fanikiwa Subukheri—sio Jina lake halisi —ni kijana mdogo aliyewahi kutumbukia katika matumizi ya dawa…
10 November 2025, 12:46
Ukusanyaji wa Plastiki unavyozidi kuwa mkombozi kwa baadhi ya familia Dodoma
Kupitia shughuli ya ukusanyaji wa plastiki, kazi hii imekuwa chanzo cha ajira na kipato cha familia. Na Lilian Leopold.Kile ambacho wengi hukiona kama taka, kwa wengine ni njia ya kujipatia ridhiki, jijini Dodoma shughuli ya ukusanyaji wa plastiki imekuwa mkombozi…
7 November 2025, 17:00
Fountain gate princess yajinoa kuelekea ligi kuu wanawake
Hamis Makila amezungumza na kocha mkuu wa kikosi hicho Given ambapo ameelezea maandalizi ya kikosi hicho.
7 November 2025, 16:34
Migogoro ya familia inavyoathiri malezi ya watoto
jamii imetakiwa kuacha migogoro na kuzingatia maslahi ya watoto katika familia. Na Anwary Shaban. Imeelezwa kuwa migogoro na ugomvi kati ya baba na mama ndani ya familia ni miongoni mwa vichocheo vinavyochangia katika malezi mabaya ya watoto. Kauli hiyo imetolewa…
7 November 2025, 15:50
Mnoko yaiomba serikali kuwasogezea huduma ya umeme
zaidi ya vitongoji 7 kati ya 10 katika Kijiji cha Mpwayungu vina uhitaji na nishati ya umeme Na Victor Chigwada. Wakazi wa kitongoji cha Mnoho Kijiji Cha Mpwayungu jijini Dodoma wameiomba serikali kuwapelekea huduma ya nishati ya umeme itakayosaidia katika…
7 November 2025, 14:41
Wakandarasi watakiwa kuharakisha ujenzi soko la Majengo
Ukarabati wa soko hilo unatekelezwa kupitia mradi wa Tactics ambapo takribani wafanyabiashara 1,795 watanufaika na soko hili. Na Lilian Leopold. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka wakandarasi wanaokarabati soko la Majengo jijini Dodoma kuhakikisha mradio huo unakamilika…
6 November 2025, 15:47
Chanhumba yaomba huduma ya nishati safi
Serikali imedhamiria kubadili matumizi kutoka kwenye kuni, mkaa na nishati zisizosafi, kwenda kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia ambapo serikali imesema inategemea ifikapo mwaka 2034 angalau takriban 80% ya kaya za Tanzania zitakuwa zinatumia nishati safi ya kupikia. Na Victor…
6 November 2025, 14:59
Wazazi watakiwa kufanya maandalizi ya shule mapema kwa watoto
Wazazi na walezi wanapaswa kutambua kuwa elimu ni muhimu kwa mtoto, kwani itamsaidia katika kuwa na uwezo wa kujitambua na kupamabana na changamoto za maisha hivyo ni jukumu la mzazi kuhakikisha mtoto anapata haki yake ya elimu. Na Farashuu Abdallah.…
6 November 2025, 13:44
Watoto wa zaidi ya miaka mitano wakatiwe tiketi wanapo safiri
Baadhi ya abiria kuwa hukumbana na kero ya kuombwa wasaidie kubeba watoto pindi wanapo kuwa safarini kutokana na mzazi kukata siti moja huku watoto alio nao wakikosa mahali pa kukaa. Na Anwary shaban.Abiria wanao tumia huduma ya usafiri wa mabasi…
6 November 2025, 09:44
Timu za kikapu Dodoma zatakiwa kujipanga kufanya vizuri
Na Hamisi Makila Ligi ya mpira wa kikapu inatarajiwa kufanyika kuanzia Novemba 26 hadi Decemba 6 2025 mkoani Dodoma ikihusisha timu 16 za wanaume na timu 12 za wanawake. Mchambuzi wa Mpira wa Kikapu Bon Charles amezitaka timu hizo kujiandaa…