Recent posts
13 November 2025, 16:09
Wananchi watakiwa kujitokeza upimaji magonjwa yasiyo ambukiza
Zoezi hilo lilianza Novemba 12 na linatarajiwa kukamilika Novemba 14, 2025, huku wataalamu wa afya wakiendelea kutoa elimu kuhusu kinga, umuhimu wa kufanya mazoezi ya mwili, na matumizi sahihi ya vyakula vinavyosaidia kupunguza hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukiza. Na; Lilian…
12 November 2025, 13:53
Ukalanzila wakumbwa na ukosefu wa maji safi na salama
Aidha Wakazi wa Ukalanzila wameendelea kuomba msaada wa haraka ili kuondokana na changamoto hiyo, wakisisitiza kuwa upatikanaji wa maji safi ni msingi wa afya na maendeleo ya jamii. Na Victor Chigwada.Wakazi wa kitongoji cha Ukalanzila, kilichopo katika Kata ya Muungano,…
12 November 2025, 13:32
Fahamu maziwa yanavyo punguza ufanisi wa dawa mwilini
Hata hivyo, Meena amewataka wananchi kuzingatia ushauri na maelekezo ya madaktari kabla ya kutumia dawa, ili kuepuka madhara yanayoweza kuepukika. Na Lilian Leopold.Wataalamu wa afya wameonya kuhusu matumizi ya dawa sambamba na maziwa au bidhaa zinazotokana na maziwa, wakisema hali…
12 November 2025, 13:13
Vijana walindwe matumizi ya dawa za kulevya ili kufikia ndoto zao
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kukevya (DCEA) imesema kundi la vijana wasomi wa vyuo vikuu ndio linaloongoza kwa matumizi makubwa ya dawa za kulevya ikiwemo uchepushwaji wa kemilaki bashirifu na dawa tiba zenye asili ya kulevya. Na…
12 November 2025, 12:46
Daladala zipakie na kushusha abiria katika vituo rasmi
Abiria pia wanapaswa kuwa waelewa na waache kuomba kushushwa vituo visivyo rasmi. Na Farashuu Abdallah.Madereva wa daladala wametakiwa kupakia na kushusha abiria katika vituo rasmi ili kuepusha madhara yanayoweza kutokea. Hayo yamesemwa na Afisa Mfawidhi kutoka mamlaka ya usafirishaji Mkoa…
12 November 2025, 12:22
Mkutano mkuu wa waamuzi Dodoma kufanyika Novemba 15
Mkutano huo ulitakiwa kufanyika mapema lakini uliahirishwa kutokana na hali ya usalama ambapo sasa utafanyika desemba 15 jijini Dodoma. Na Hamis Makila.Mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama cha uamuzi jijini Dodoma unatarajiwa kufanyika Desemba 15 20225 . Mkutano huo ulitakiwa…
12 November 2025, 11:59
Watembea kwa miguu watakiwa kuzingatia sheria na alama za barabarani
Hii ni kutokana na baadhi ya watembea kwa miguu kushindwa kutambua sheria za alama za barabarani jambo ambalo upelekea ajali za mara kwa mara. Na Anwary Shaban.Watumiaji wa barabara hususani watembea kwa miguu wameaswa kuzingatia sheria na alama za barabarani…
10 November 2025, 16:20
Gunners na tumaini la kuibuka na alama tatu
Kocha mkuu wa timu hiyo ya Gunners Juma Ikaba anasema wana imani kubwa wataibuka na alama tatu katika mchezo unao fuata wa ligi hiyo dhidi ya mchezo wao na Geita gold.
10 November 2025, 16:00
Ufahamu uhusiano kati ya afya ya kinywa na ubongo
Mtu mwenye magonjwa yasiyoambukiza anaweza pia kuathiriwa na magonjwa ya kuambukiza. Na Seleman Kodima.Mratibu wa Magonjwa Yasiyoambukiza mkoani Dodoma, Dkt. Missana Yango, amesema kuna uhusiano mkubwa kati ya afya ya kinywa na ubongo, akibainisha kuwa matatizo ya kinywa yanaweza kuathiri…
10 November 2025, 15:36
Mmomonyoko wa maadili wapelekea vijana kutoaminika
Kwa mujibu wa tafiti zilizotajwa, mitandao ya kijamii inaonekana kuwa na athari kubwa zaidi kwa vijana walioko katika kipindi cha kubalehe, ikilinganishwa na muziki, filamu, au hata marafiki wa karibu. Na Farashuu Abdallah.Jamii imetakiwa kuwekeza kwa dhati katika malezi ya…