Recent posts
5 November 2025, 16:35
Johari aapishwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali
Johari ameapishwa baada ya kuteuliwa na Rais Samia Novemba 3, 2025, saa chache baada ya Samia kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania. Na Yussuph HassanRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemwapisha Hamza Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG). Johari ameapishwa…
5 November 2025, 16:17
Kutokujituma kunaweza kupelekea tatizo la afya ya akili
Aidha Mtahu ameshauri vijana kujituma katika umri wao kwani wakati huo hukutana na watu wengi ambao wangeweza kuwasaidia kutokana na nguvu kazi waliyo kuwanayo. Na Farashuu Abdalah. Vijana wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza hapo baadae…
5 November 2025, 15:37
Ukosefu wa maadili ya dini kwa vijana ni hatari kwa Taifa
Wazazi wana jukumu la kuwapeleka watoto wao kuhudhuria madarasa ya dini ili kujenga jamii yenye hofu ya Mungu. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa kukosekana kwa maadili ya kidini kwa watoto na vijana kunaweza kuhatarisha usalama wa jamii na hata Taifa…
4 November 2025, 15:53
Singida blac stars yaelezea maandalizi baada ya kupangwa kundi c
Afisa habari wa kikosi cha Singida black stars Hussen Masanza ameelezea maandalizi ya kikosi hicho baada ya kupangwa kundi c katika hatua ya makundi kwenye shirikisho la mpira barani Afika.
4 November 2025, 15:00
Huduma na shughuli mbalimbali zarejea Dodoma
Hali imeendelea kuimarika katika jiji la Dodoma na wananchi wameendelea na shughuli zao kama kawaida huku huduma za usafiri zikirejea , maduka yaliyo kuwa yamefungwa yakifunguliwa. Na Mariam Kasawa.Baada ya serikali hapo jana kuruhusu shughuli za kijamii katika maeneo mbalimbali…
28 October 2025, 15:56
Changamoto jamhuri zakatisha mchezo kati ya Dodoma jiji na
Changamoto hizo zinatajwa kupelekea mchezo huo kuto kukamilika. Hamis makila amezungumza na meneja uwanja wa Jamhuri Bw. Hussein Mhando ambapo ameeleza changamoto zilizo tokea hadi kupelekea taa kusumbua uwanjani hapo na kupelekea mchezo huo kukatishwa.
28 October 2025, 15:44
Wasimamizi wa uchaguzi Dodoma waelezea hali ya maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu
Na Waandishi wetu.Kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika siku ya kesho, ambayo ni 29 Oktoba, waandishi wa habari wamefanya mahojiano na wasimamizi wa uchaguzi mkoa wa Dodoma ili kufahamu maandalizi yapoje mpaka mpaka sasa. Tunaungana na Selemani Kodima ambaye amezungumza na Msimamizi…
28 October 2025, 15:24
INEC yasisitiza maandalizi ya uchaguzi yamekamilika
Katika taarifa yake, Jaji Mwambegele ametoa maelekezo 10 muhimu ambayo wapiga kura wote wanapaswa kuyazingatia siku ya uchaguzi. Na Lilian Leopold.Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa maelekezo 10 kwa wapiga kura na wadau wote wa uchaguzi kuelekea Uchaguzi…
28 October 2025, 15:05
Jeshi la Polisi lajipanga kuhakikisha amani na usalama uchaguzi
Jeshi la Polisi limewataka wananchi, vyama vya siasa na wadau wote wa uchaguzi kushirikiaa na vyombo vya usalama ili kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na uwazi. Na Anwary Shaban.Jeshi la Polisi mkoani limetoa tamko kuelekea uchaguzi mkuu…
28 October 2025, 14:48
Vikwazo vinavyowakumba wanawake katika kugombea nafasi za uongozi
Mitazamo hasi na kutoaminiwa na jamii ni baadhi ya vikwazo vinavyo wakumba wanawake. Na Mariam Matundu.Moja ya vikwazo wanavyo kutana navyo wanawake katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa kisiasa ni mitazamo hasi ya kutokuaminiwa na jamii kutokana na mila…