Recent posts
23 October 2025, 15:03
Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka mitatu
katika utetezi wake Mtumiwa huyo anasema anasingiziwa na baba wa mtoto huyo kwa kuwa anaugomvi nae. Na Kitana Hamis.Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 20 alie fahamika kwa jina la Athuman Hatibu mkazi wa Laiseri Wilayani Kiteto amehukumiwa kifungo cha…
22 October 2025, 17:02
Mwema akemea imani za kishirikina wanafunzi wa kike Kiteto
Wanafuzi hao wamechukuliwa kwajili ya uchunguzi. Na Kitana Hamis.Mkuu wa wilaya ya Kiteto Remidius Mwema amekemea imani za kishirikina baadhi ya Wanafunzi wa kike kuanguka shuleni nakupoteza fahamu. Mkuu wa wilaya ya kiteto alilazimika kufika Shuleni hapo na kuthibitisha kutokea…
22 October 2025, 16:41
Sauti ya tiba sehemu ya 7
Katika sehemu ya saba ya igizo la sauti ya tiba tunaona bwana cornelius akiwa ameanza ujenzi wa jengo jipya katika eneo analo ishi je jrngo hili ni la nini, twende ufuatane nasi katika igizo hili .
22 October 2025, 16:18
Sababu za kisaikolojia zatajwa tatizo la afya ya akili
Jamii inapaswa kuondoa unyanyapaa dhidi ya watu wanaopitia changamoto za afya ya akili na badala yake, kuwasaidia kwa upendo na msaada wa kitaalamu. Na Peter Nnunduma.Sababu za kisaikolojia kama vile msongo wa mawazo, kupoteza mtu wa karibu na ajali vimetajwa…
22 October 2025, 15:50
Wananchi watakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa njia chanya
Hadi sasa, mamlaka mbalimbali zimeendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu usalama wa mitandaoni na matumizi sahihi ya teknolojia, huku ikiendelea kuhamasisha matumizi bora ya TEHAMA kwa maendeleo ya jamii. Na Anwary Shaban.Wananchi nchini wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa njia…
22 October 2025, 15:20
Kituo cha Afya Ilazo chaanza kutoa huduma za kibingwa
Huduma hizo za kibingwa zinatarajiwa kusaidia kupunguza msongamano wa wagonjwa katika hospitali za rufaa, sambamba na kuinua kiwango cha utoaji wa huduma za afya katikajamii. Na Lilian Leopold.Wananchi Mtaa wa Ilazo na maeneo ya jirani Jijini Dodoma wametakiwa kutumia fursa…
22 October 2025, 11:59
Serikali kupitia UCSAF kufikisha mawasiliano katika maeneo ya kimkakati
Vijiji vilivyofikishiwa mawasiliano vimeanza kunufaika na huduma za kifedha, elimu, biashara mtandao na fursa nyingine za kidijitali zinazochochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Na Mariam Matundu.Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kuanza utekelezaji wa awamu mpya ya…
21 October 2025, 15:53
Wizara ya Habari yalaani vitendo vya ukiukwaji wa maadili mtandaoni
Picha ni taarifa kwa umma kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Picha na Selemani Kodima. Wizara imekumbusha kuwa usambazaji wa maudhui yasiyo na maadili ni kosa kisheria chini ya Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015, na…
21 October 2025, 15:35
Serikali yazindua mafunzo ya kuongeza ujuzi kwa wakulima
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Zuhura Yunus katika mafunzo ya kuongeza ujuzi kwa wakulima na wazalishaji wadogo. Picha na Selemani Kodima. Mafunzo haya yanatolewa kwa ushirikiano na Taasisi ya Utafiti…
21 October 2025, 15:21
Wakulima wa zabibu wapatiwa mafunzo kuongeza ujuzi
Picha ni baadhi ya wakulima wasindikizaji wa zabibu katika mafunzo ya kuongeza ujuzi Picha na Selemani Kodima. Katika mafunzo hayo yaliyofanyika Hombolo, jijini Dodoma jumla ya wakulima 70 wamepatiwa mafunzo hayo kwa ajili ya kuongeza thamani ya zao la zabibu.…