Recent posts
21 October 2025, 13:03
Pambano la ngumi Kibaigwa rasmi kufanyika Oktoba 25
Picha ni baadhi ya mabondia watakaoshiriki katika pambano la ngumi Kibaigwa wakiwa katika mazoezi. Picha na Hamis Makila. Pambano hilo litashirikisha mabondia 25 kutoka maeneo ya Tanzania, huku pambano kuu likiwa kati ya Anthony Boiko na George Dimoso. Na Hamis…
21 October 2025, 12:00
Yanga na Prisons kukutana uwanja wa Jamhuri Dodoma
Picha ni Uwanja wa Jamhuri utakapochezwa mchezo kati ya Yanga Sc na Tanzania Prisons Novemba 01. Picha na Hamis Makila. Uamuzi wa kuhamishia mchezo huo katika Uwanja wa Jamhuri umetokana na taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)…
20 October 2025, 17:36
Chifu Yasin asisitiza amani kuelekea Uchaguzi
Picha ni Kiongozi wa Machifu wa Mkoa wa Dodoma, Chief Yasin Bilinji. Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Bilinji, amesema hakuna haja ya kuvunja amani ya taifa ikiwa zoezi la upigaji wa kura ni haki ya msingi kwa kila…
20 October 2025, 17:16
Ukosefu wa mvua wasababisha njaa kijiji cha Chanhumba
Wakazi wa Kijiji cha Chanhumba wamesema licha ya jitihada zao za kulima, mazao yao yalikauka kutokana na ukosefu wa maji ya kutosha. Picha na Dodoma FM. Wakazi wakijiji hicho wameiomba serikali kuwasaidia kupata mahindi kwa bei nafuu ili kukabiliana na…
20 October 2025, 15:46
Makosa ya maadili, utoro na wizi yatawala rufaa 108 za watumishi wa umma
Picha ni Kaimu Katibu Mkuu wa Tume ya Utumishi wa Umma John Mbisso, katika mkutano wa kwanza wa mwaka wa fedha 2025/26 uliofanyika jijini Dodoma. Picha na Selemani Kodima. Katika mkutano wa kwanza wa mwaka wa fedha 2025/26 uliofanyika jijini…
17 October 2025, 16:00
Vijana Chitabuli watakiwa kujiepusha na vurugu kuelekea uchaguzi mkuu
Wakati uchaguzi mkuu ukikaribia, vijana wa Chitabuli wametakiwa kujitokeza kupiga kura kwa amani na kuepuka vitendo vya vurugu. Picha na Blogers. Kwa kufanya hivyo, watakuwa wametimiza haki yao ya msingi, kwani kila kijana ana wajibu wa kushiriki kikamilifu katika mchakato…
17 October 2025, 15:39
Wachimbaji wadogo watakiwa kuchukua tahadhari migodini
Wachimbaji wadogo wa madini wametakiwa kutumia vifaa vya kinga migodini ili kuepuka madhara ya kemikali yanayoweza kuathiri afya zao. Picha na Blogers. Kwa kuzingatia matumizi ya vifaa sahihi wakati wa uchimbaji wa madini wataweza kuepukana na athari za kiafya zinazoweza…
17 October 2025, 15:19
Sekta ya Bima yazidi kukua kutoka bilioni 79.2 hadi 957
Picha ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Fedha na Mipango Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya Salum wakati wa uzinduzi wa jengo la Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) jijini Dodoma. Picha na Anwary Shaban. Uzinduzi wa TIRA Bima…
17 October 2025, 12:19
Wanawake waathirika zaidi ukatili mtandaoni
Ripoti ya LHRC ya mwaka 2023 imebainisha ongezeko la ukatili wa kijinsia mtandaoni nchini hasa kwa wanawake. Picha na INEC. Ongezeko la ukatili wa kijinsia mtandaoni limeibua mjadala mpana kati ya vijana na wataalamu kuhusu hatua za kuchukua kuondoa vitendo…
17 October 2025, 10:48
Ukosefu wa huduma za afya karibu changamoto kwa wajawazito
Ukosefu wa huduma za afya kijiji cha Ilangali umetajwa kuwa changamoto hasa kwa mama wajawazito. Picha na Dodoma FM. Ukosefu wa huduma za afya maeneo ya karibu unawafanya wananchi kutembea umbali mrefu kufuata huduma hizo jambo ambalo ni hatari kwa…