Recent posts
27 October 2025, 17:29
Dodoma jiji yasubiri majibu kutoka bodi ya ligi
Hamis Makila amezungumza na msemaji wa timu hiyo Moses Mpunga ambapo ameeleza kuwa bado wanasubiri majibu kutoka bodi ya ligi.
27 October 2025, 15:55
Ukatili unao wakabili watu wakati wa kampeni
Leo tunaangazia ukatili unaowakabili watu wakati wa kampeni za kisiasa. Na Seleman KodimaTunaungana na Anthony Makinda, kijana kutoka Chang’ombe, ambaye anasimulia ukatili alioupitia wakati wa kipindi cha kampeni.
27 October 2025, 15:40
Migogoro ya ardhi na ndoa yavuruga maendeleo Mpwayungu
Wameiomba Serikali kupeleka wataalamu wa masuala ya kijinsia kutoa elimu kwa wanandoa, pamoja na wataalamu wa ardhi, ili kupunguza migogoro ya mara kwa mara. Na Victor Chigwada.Wananchi wa Kijiji cha Mpwayungu, jijini Dodoma, wametakiwa kuachana na migogoro ya ardhi na…
27 October 2025, 15:20
Shekimweri awahakikishia wananchi usalama umeimarishwa
Kwa mujibu wa ratiba ya Tume Huru ya Uchaguzi (NEC), uchaguzi mkuu utafanyika Oktoba 29, 2025, ambapo wananchi kote nchini watapata nafasi ya kuchagua viongozi wao katika ngazi ya Urais, Ubunge na Udiwani. Na Lilian Leopold.Mkuu wa Wilaya ya Dodoma…
24 October 2025, 15:16
Sauti ya tiba sehemu ya nane
Karibu uendelee kusikiliza mfululizo wa igizo la sauti ya tiba kupitia Dodoma fm na leo tupo sehemu ya nane karibu uweze kuburudika na kujifunza mambo mbalimbali.
24 October 2025, 15:00
Mitandao ya kijamii nyenzo muhimu katika kujifunza mambo mapya
Mitandao ya kijamii wameweza imewezesha kujifunza mambo mbalimbali, kupata taarifa na kufanya biashara kupitia mitandaoni. Na Anwary Shaban.Wananchi wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kama fursa ya kukuza uchumi, kuongeza maarifa, na kuboresha shughuli zao za kila siku badala ya kuitumia…
24 October 2025, 12:11
Mitazamo hasi kikwazo kwa wanawake katika uchaguzi
Vikwazo vya kijamii na kifamilia,Familia na jamii huweza kuwa kizuizi kwa wanawake kwa kuwataka waendelee na majukumu ya nyumbani badala ya kujihusisha na siasa.Wanawake hupewa majukumu ya malezi na kazi za nyumbani, jambo linalopunguza muda na rasilimali za kushiriki kampeni.…
23 October 2025, 17:07
Kukatisha safari za daladala kabla ya kufika mwisho ni kosa kisheria
Sajenti Ester amesema kitendo cha madereva kukatisha ruti bila sababu za msingi ni ukiukwaji wa sheria za usafirishaji wa abiria. Imeelezwa kuwa kitendo cha baadhi ya madereva wa usafiri wa daladala Jijini Dodoma kukatisha safari zao kabla ya kufika mwisho…
23 October 2025, 16:06
Hofu ya kukosa daraja yawakumba wakazi wa majeleko
Changamoto hiyo imekuwa ikiathiri shughuli za wananchi hao kutokana na maji hayo kudumu kwa muda bila ya kupungua. Na Victor Chigwada. Kuelekea katika msimu wa masika, wananchi wa kijiji cha Majeleko Wilayani Chamwino mkoani Dodoma wameonyesha kuwa na hofu kutokana…
23 October 2025, 15:38
Muendelezo wa igizo la sauti ya tiba
Karibu katika igizo la sauti ya tiba uendelee kuburudika na kujifunza kupitia igizo linalo kujia kupitia Dodoma fm radio.