Recent posts
16 January 2026, 15:27
Vodacom kutoa kipaumbele kwa wenye mahitaji maalum
Besiimire amesema duka hilo ni mkombozi kwa wakazi wa Mkoa wa Dodoma na mikoa jirani iliyo katika Kanda ya Kati kutokana na kuboreshwa kwa huduma zake. Na Yussuph Hassan. Kampuni ya Mtandao wa Simu ya Vodacom imesema imejipanga kuhakikisha inatoa…
16 January 2026, 15:05
Baadhi ya kaya Nayu zakabiliwa na njaa
Wananchi wamesema baadhi ya kaya kijijini hapo wanaishi wazee ambao hawawezi kumudu gharama za manunuzi ya chakula cha kila siku. Na Victor Chigwada. Baadhi ya maeneo katika mkoa wa Dodoma yanakabiliwa na upungufu wa chakula kwa sasa licha ya msimu…
16 January 2026, 14:40
Sheria zizingatiwe ili kulinda uraia
Vile vile Mrakibu msaidizi Muhina amewataka wananchi waliopewa uraia kwa mujibu wa sheria waendelee kutii sheria pasipo kukiuka utaratibu waliopewa ili wasiweze kupoteza hadhi ya kuwa raia wa Tanzania. Na Jerome John. Wananchi ambao ni raia wa Tanzania wametakiwa kuheshimu…
16 January 2026, 14:23
Serikali kuendelea kuboresha maslahi ya watumishi wa TRA
Mkutano huo uliwakutanisha wadau mbalimbali kwa lengo la kuimarisha sekta ya ukusanyaji mapato nchini. Na Mariam Kasawa. Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mcha Musa Mcha, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya uongozi wa mamlaka hiyo na…
16 January 2026, 12:50
Wananchi Mbori walilia chumba cha kuhifadhia maiti
Nae Maria Manyelezi amesema pamoja na ukosefu wa chumba cha kuhifadhia maiti, pia kijiji hicho kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji safi na salama na hivyo kumpelekea kijiji hicho kukmbwa na mlipuko wa magonjwa ya mara kwa mara. Na…
16 January 2026, 12:05
Kampeni ya kukijanisha Dodoma yawafikia wananchi Nala
Zoezi hilo ni sehemu ya kampeni kubwa ya serikali ya kuikijanisha Dodoma kwa kupanda miti. Na Lilian Leopold. Katika jitihada za kuufanya mkoa wa Dodoma kuwa wa kijani na kustawisha mazingira, zoezi la ugawaji wa miche ya matunda na kivuli…
15 January 2026, 15:13
Wanaume wajitokeze kuwapeleka wake zao kliniki
Hii ni kutokana na ushiriki wa wanaume kuwa hafifu katika masuala ya afya ya uzazi, hali inayosababisha wanawake wengi kuhudhuria kliniki peke yao bila msaada wa wenza wao, jambo linalopunguza uelewa wa pamoja kuhusu hatua muhimu za ujauzito, kujifungua na…
15 January 2026, 14:20
Wananchi waipongeza serikali ujio wa mradi wa maji Msanga
Wananchi hao wamefurahishwa na ujio wa mradi huo, huku wakiongeza kuwa mradi huo utawapunguzia umbali ambao walikuwa wakitembea kutafutamaji safi na salama. Na Victor Chigwada. Wananchi wa Kijiji cha Msanga Wilayani Chamwino wameipongeza Serikali Kwa ujenzi wa mradi mkubwa wa…
15 January 2026, 12:35
Maagizo ya Mchengerwa kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya
Amewataka viongozi katika sekta ya afya kuwa na uwezo wa kutatua changamoto za huduma bila kusubiri michakato mirefu. Na Mariam Kasawa Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara yake, Dkt. Seif Shekalaghe, kufanya mapitio ya miongozo ya…
15 January 2026, 11:27
Gunners yaachana na Juma Ikaba
Ikaba ndiye kocha alianza kukinoa kikosi cha guuners kwanzia ligi ya mkoa kisha daraja la pili na kwa sasa alikuwa akikiongoza kikosi hichi katika ligi daraja la kwanza. Na Hamis Makila.Kikosi cha guuners kimefikia makubaliano ya pande zote mbili ya…