Recent posts
7 January 2026, 12:41
Ufahamu mchezo wa bao na aina zake
Zipo aina mbalimbali za bao ambazo huchezwa hapa mchini na pia upo utofauti kati ya mchezo wa bao kwa Tanzania bara na visiwani . Na Yussuph Hassan. Karibu katika Fahari ya Dodoma ambapo leo tupo katika mfululizo wa makala inayo…
7 January 2026, 12:22
Abiria walalamika kucheleweshewa safari
Wamekuwa wakikumbana na adha ya kuchelewa kuanza safari kutokana na baadhi ya vituo vya mabasi kuathiriwa na hali ya mvua. Na Anwary Shaban. Baadhi ya wasafiri katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dodoma wameeleza kukumbwa na changamoto ya kuchelewa kuanza…
6 January 2026, 16:46
Wananchi Miyuji waongeza tahadhari kwa watoto msimu wa mvua
Picha ni maji machafu ya mvua yaliyotuhama katika baadhi ya makazi ya watu, mtaa wa Miyuji Proper. Picha na Lilian Leopold. Jamii imetakiwa kuendelea kuchukua tahadhari ikiwemo kufunika mitaro wazi, kuondoa maji yaliyotuama, kuwafuatilia watoto wanapocheza pamoja na kuwahimiza watoto…
6 January 2026, 16:05
Wafanyabiashara Dodoma kizimbani kwa kukaidi kulipa kodi
Picha ni Afisa Sheria wa Jiji la Dodoma, Godfrey Ngazi akizungumza na waandishi wa habari. Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Ameongeza kuwa wafanyabiashara watakaokaidi kulipa kodi hizo watawajibishwa vikali kwa mujibu wa sheria. Na Mwandishi wetu. Halmashauri ya…
5 January 2026, 17:25
Dodoma wachukua tahadhari za kiafya kipindi cha mvua
Aidha, uongozi unahamasisha usafi wa pamoja, kudhibiti maeneo yanayozalisha mbu, na kushirikiana na wataalam wa afya ili kuzuia milipuko ya magonjwa, huku wakisisitiza umuhimu wa kushirikiana kwa jamii ili kulinda afya zao na za familia zao. Na Anwary Shabani. Jamii…
5 January 2026, 16:46
Daraja jipya Mlowa laondoa kero ya usafiri kwa wananchi
Ujenzi wa daraja hilo unakadiliwa kutumia zaidi ya Milioni mia tano ukiwa chini ya usimamizi wa mamlaka ya usimamizi barabara vijijini TARURA. Na Victor Chigwada. Kukamilika kwa daraja linalounganisha kata za Mlowa barabarani, Iringa Mvumi na Makang’wa imekuwa chanzo cha…
5 January 2026, 16:19
Wazazi waonesha utayari kuelekea kufunguliwa shule Januari 13
Sera hiyo inasisitiza ushirikiano kati ya serikali, jamii na wazazi katika kuondoa vikwazo vya upatikanaji wa elimu, ikiwemo kuhakikisha watoto wanajiandikisha na kuhudhuria shule ili kupata maarifa na stadi muhimu kwa maendeleo yao na taifa kwa ujumla. Na Lilian Leopold.…
2 January 2026, 15:38
Dodoma yaendelea kupiga hatua kampeni ya upandaji miti
“Ndugu zangu, miti ina faida nyingi tuitikie wito huu. Dhamira ya mheshimiwa rais wetu ni njema sana ndio maana aliwaagiza TFS kuandaa miche kila mwaka na kugawia wananchi bure ili waipande hali itakayohamasisha wengine kupenda mazingira na kupanda miti” alisema…
24 December 2025, 15:47
Diwani ahimiza wananchi kuzingatia lishe bora Ndachi
Maadhimisho hayo yaliambatana na utoaji wa elimu ya lishe, ushauri wa afya, pamoja na upimaji wa afya kwa watoto. Na Anwary Shaban.Diwani wa Kata Mnadani, Mugendi Karenge amewataka wananchi wa Mtaa wa Ndachi kuzingatia masuala ya afya na lishe bora…
24 December 2025, 15:17
Vijana watakiwa kuweka utaratibu wa kusoma vitabu
Usomaji wa vitabu kwa vijana unatajwa pia kama njia moja wapo ya kujiongezea maarifa. Na Bennard Komba.Ushauri umetolewa kwa vijana kuhakikisha wanaweka utaratibu wa kusoma vitabu mbalimbali ili kubadili fikra na kujiongezea maarifa yatakayowaongoza katika mafanikio. Pamela Jerome ni kijana…