Dodoma FM

Recent posts

13 July 2026, 15:52

Umiliki halali wa ghala Matui wazua mgogoro

Hii hapa tarifa yake  kitana Hamisi kutoka wilayani Kiteto  Mkoani Manyara. Na Kitana Hamis. Mvutano wa umiliki wa ghala lililopo Kijiji cha Matui, Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, umeendelea kushika kasi huku wananchi na Chama cha Ushirika cha Matui (Matui…

13 July 2026, 15:36

Jamii yatakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya malaria

Kulingana na jitihada zinazofanywa na serikali pamoja na wadau mbali mbali kumekuwa na matokeo mazuri ya kupunguza maambukizi. Na Jerome John. Jamii mkoani Dodoma imeshauriwa kuendelea kuchukua tahadhari juu ya maambukizi ya ugonjwa wa malaria. Wito  huo umetolewa na Dkt.…

13 July 2026, 15:27

Unyanyapaa kikwazo kwa wenye ulemavu wanaoishi na VVU

Kwa kuendelea kutoa elimu na kuondoa unyanyapaa, wadau wanaamini kampeni ya “Na Sisi Tupo” itasaidia kujenga jamii yenye usawa, inayowathamini watu wenye ulemavu wanaoishi na Virusi vya ikimwi  na kuwawezesha kuishi maisha yenye matumaini na heshima. Na Anwary Shaban. Unyanyapaa…

10 July 2026, 18:28

Fikra potofu, ukosefu wa ajira wazazi washawishi watoto wajifelishe

Hata hivyo baadhi Wazazi kutokana na kutokuwa na uelewa wa kutosha juu ya faida za elimu, wamekuwa wakiwahimiza watoto wao kuolewa badala ya kuendelea na masomo. Na Victor Chigwada. Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ikombolinga wameendelea kushikilia dhana ya…

10 July 2026, 18:04

Wakazi Mwanakianga Kati walalamikia vifusi vilivyorundikana barabarani

Ameomba Serikali na wadau husika wachukulie hatua za haraka ili kuondoa usumbufu unaowakabili wananchi. Na Stephen Noel.Wananchi wa Kijiji cha Mwanakianga Wilayani ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma wameilalamikia Serikali kushindwa kusambaza vifusi vilivyolundikwa kando ya barabara kwa zaidi ya miezi…

9 July 2026, 17:41

Watu wa karibu wanapambana vipi na vitendo vya ukeketaji?

Tafiti nyingi zilizofanywa katika miaka ya hivi karibuni zinaonesha hatua kubwa imepigwa kuwafungua wananchi juu ya mila potufu ingawa safari bado ni ndefu. Na Mariam Matundu. Serikali ya Tanzania imeanzisha mkakati wa kitaifa wa kutokomeza vitendo vya kikatili vya ukeketaji…

9 July 2026, 16:52

Serikali yachukua hatua kudhibiti Korongo la Shaban Robert Mpwapwa

Ufanisi wa udhibiti wa korongo hilo unategemea pia utunzaji wa mazingira katika maeneo ya milima. Na Stephen Noel.  Wananchi wa Mitaa ya Majengo, Hazina na Vighawe Wilayani Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma wameipongeza Serikali kwa kuanza hatua za kudhibiti korongo la…

9 July 2026, 16:37

Wachimbaji wa dhahabu Handali walalamika kukosa bei elekezi

Serikali kupitia Wizara ya Madini inaendelea kusogeza huduma karibu na wananchi Kwa kuanzisha masoko 44 na vituo vidogo 120 vya ununuzi wa dhahabu nchi nzima masoko haya yatatoa bei elekezi na yanalenga kuondoa udanganyifu Kwa wachimbaji . Na Victor Chigwada.…

9 July 2026, 16:16

Ushirikiano wa jamii, polisi wapunguza matukio ya uhalifu Chang’ombe

Kwa pamoja, Jeshi la Polisi na wananchi wanaendelea kuthibitisha kuwa ushirikiano ni silaha muhimu katika kupambana na uhalifu na kuhakikisha amani, usalama na maendeleo ya Mkoa wa Dodoma yanayo endelea kudumu. Na Anwary Shaban. Ushirikiano kati ya wananchi na Jeshi…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger