Recent posts
20 March 2026, 16:45
Watatu wajeruhiwa kwa ajali ya gari Mpwapwa
Gari hiyo ambayo ilikuwa ikiendeshwa kwa mwendo kasi iliacha njia ghafla na kuvamia makazi ya watu. Na Steven Noel Watu watatu wamenusurika kufa katika ajali baada ya gari aina ya lori lenye usajili namba T676DFC lililobeba kokoto kuacha njia na…
20 March 2026, 16:23
Prof. Mohamed ahimiza wanafunzi kusoma kwa bidii
Alisema wanatarajia kuendelea kuinua kiwango cha taaluma na kuhakikisha wanafunzi wanapanda daraja mwaka hadi mwaka. Na Mariam Kasawa. Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Makutupora watakiwa kuwa na nidhamu na kusoma kwa bidii ili kufikia malengo yao ya kielimu na maisha…
19 March 2026, 16:53
Baadhi ya vijana Ndogowe watelekeza mashamba yao
Hayo yanajiri baada ya vijana wa mradi wa Jenga kesho iliyo bora (BBT)Kijiji Cha Ndogowe kuonekana kushindwa kuendelea na palizi katika mashamba Yao yaliyopo katika mpango huo . Na Victor Chigwada. Wanufaika wa mradi wa Jenga kesho iliyo bora BBT…
19 March 2026, 16:35
Washikiri zoezi la upandaji miti Shule ya Mzingi Mchemwa
Umuhimu wa kupanda miti na kutunza mazingira ya shule una faida nyingi kama vile kupata miti ya kivuli, kuchangia katika kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi na kukuza elimu ya uhifadhi wa mazingira kwa wanafunzi na jamii. Na Mariam Kasawa.…
19 March 2026, 16:24
Watendaji wa mitaa kuimarisha ufuatiliaji wa ujenzi na biashara
Ufuatiliaji wa biashara unalenga kuhakikisha kila mfanyabiashara anafanya shughuli zake kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu . Na Mariam Kasawa. Watendaji wa Mitaa na Kata kutoka Kanda Namba Mbili aktika Manisipaa ya Dodoma wamekumbushwa kuimarisha ufuatiliaji wa shughuli za ujenzi…
19 March 2026, 16:02
Tume ya utumishi kutumia wiki mbili kuamua rufaa za watumishi
Tume ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora itawalisha taarifa mbalimbali za utekelezaji wa majukumu ya tume, kujadili na kutolea maelekezo kwenye mkutano wake. Na Anwary Shaban. Tume ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imepanga kujadili malalamiko mbalimbali yaliyowasilishwa…
18 March 2026, 18:16
Wanawake KKKT Mpwapwa wawashika mkono wanawake wanaopitia changato
Wamesema lengo la kutoa msaada huo pia ni kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka machi 8 hivyo wametumia maadhimisho hayo kutoa msaada huo. Na Steven Noel.Umoja wa wananawake wa kanisa la kiinjili la kirutheli Tanzania dayosisi ya…
18 March 2026, 17:38
Wamiliki wa viwanja watakiwa kuendeleza viwanja vyao
Hata hivyo, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imewataka wananchi na taasisi zote kuhakikisha wanafuata taratibu za mipango miji na kupata vibali stahiki kabla ya kuanza ujenzi, ili kuepusha hasara na migogoro ya kisheria. Na Anwary Shaban. Halmashauri ya Jiji la…
18 March 2026, 17:19
Wananchi Chanh’umba walalamika baadhi ya mabomba kutotoa maji
Mwenyekiti wa vitongoji hivyo Bw Amosi Lusiji amekiri zoezi la usambazaji miundombinu ya maji umekamilika Kwa asilimia kubwa katika vitongoji. Na Victor Chigwada. Wakazi wa vitongoji vya Arusha, Ilolo na kawawa Kijiji Cha Chanh’umba Wilayani Chamwino wameomba kufanyiwa ukarabati wa…
17 March 2026, 18:20
Mwekezaji Muungano ashindwa kutekeleza ahadi zake kwa wananchi
Wananchi wa kijiji cha Muungano wilayani Chamiwno wanasema Ndg.Baraka Baradiga wa GG Mining Company ambaye ndiyo mmiliki wa kampuni ya kusaga kokoto katika mgodi huo emeshindwa kutekelezaji ahadi zake. Na Victor Chigwada. Wakazi wa Kijiji Cha Muungano Wilaya ya Chamwino…