Recent posts
23 July 2026, 17:24
Maendeleo ya teknolojia ya matibabu nchini yaongezeka
Kwa ujumla, uwekezaji huo katika teknolojia ya matibabu, miundombinu ya afya na rasilimali watu unaonesha dhamira ya Serikali ya kuimarisha sekta ya afya nchini, ili wananchi wapate huduma bora, za haraka na zinazokidhi viwango vya kimataifa. Na Anwary Shaban. Serikali…
23 July 2026, 17:12
Kairuki awaagiza TTCL Mpwpwa kuongeza kasi ya mkongo wa Taifa
Mhe. Kairuki ametoa rai hiyo Wilaya ya Mpwapwa alipokuwa akitembelea Ofisi za TTCL Wilaya hiyo na Ofisi za Posta. Amesema Dodoma nzima watu 65 tu ndio wameunganishwa. “Tunataka Watanzania wote wanufaike na uchumi wa kidigitali” Na Stephen Noel Waziri wa…
23 July 2026, 16:36
Wadau wa mpira wa miguu Mpwapwa wamuita waziri wa michezo
Wameiambia Dodoma FM kuwa kwa muda mrefu wilaya hiyo imekosa mashindano ya mpira wa miguu, Na Steven Noel. Wananchi na wadau wa mpira wa miguu wilayani Mpwapwa wamemuomba Waziri mwenye dhamana ya Michezo kutembelea wilaya hiyo ili kukutana nao na…
22 July 2026, 16:51
Athari za kiuchumi zinavyopelekea changamoto ya afya ya akili
Kwa upande wake msaikolojia mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma Christopher Abuto ameshauri kuwa jamii nzima ichukue hatua ya kuyaona masuala ya maisha kuwa ni mambo ya kawaida kwa kutoweka malengo makubwa zaidi ya namna wanavyoishi na wanapokutana na magumu…
22 July 2026, 16:29
Wananchi watakiwa kuwa makini na matumizi ya pilipili kupita kawaida
Hivyo, pamoja na kuleta ladha kwenye chakula, matumizi sahihi ya pilipili yanaweza kuwa na manufaa kiafya, huku ukizingatia kiasi kinachofaa kulingana na hali ya mwili. Na Husna Munis. Wananchi wametakiwa kuwa makini na matumizi ya pilipili, hususan watu wenye matatizo…
21 July 2026, 17:09
Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya majanga ya moto
Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya majanga ya moto kwa kufuata kanuni za usalama na kutoa taarifa mapema kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji pindi moto unapotokea, ili kuokoa maisha na mali. Na Daniel Njau. Akitoa elimu kuhusu majanga ya…
21 July 2026, 16:42
Wananchi walalamika kuchangia vyanzo vya maji na mifugo
Sera ya maji ya taifa inasema maji ni muhimu kwa viumbe vyote duniani, bila maji hakuna uhai aidha maji ni muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii, kiwango cha maendeleo ya jamii yoyote kina tegemea kuwepo kwa maji ya kutosha…
21 July 2026, 16:03
Wazazi wa kiume waomba kushirikishwa huduma hedhi salama
Shirika la Marafiki Elimu limetoa wito kwa wazazi na walezi wa kike kuacha kuwaficha wazazi na walezi wa kiume katika suala la Hedhi Salama kwa watoto wa kike ili kushirikiana katika upatikanaji wa malezi shirikishi na vifaa saidizi pindi binti…
20 July 2026, 18:00
Mabadiliko ya tabianchi yanaathirije upatikanaji wa chakula?
Wanasayansi wanabashiri kwamba ongezeko la joto na mabadiliko ya mienendo ya mvua huenda yakaathiri uzalishaji hasa katika maeneo yenye matatizo. Na Mariam Matundu.Uhakika wa upatikanaji chakula huathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi kwani ukame, mabadiliko ya vizio vya joto,…
20 July 2026, 17:47
Mbaroni kwa kumbaka mwanafunzi wa kidato cha 3 Pwaga
Hadi sasa uchunguzi wa tukio hilo unaendelea chini ya uongozi wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Mpwapwa. Na Stephen Noel. Watu watatu wakazi wa Kijiji cha Pwaga, Kata ya Pwaga Wilaya ya Mpwapwa wanashikiliwa na jeshi la Polisi wilayani humo…