Nuru FM
8 August 2026, 10:15

Makala hii inaelezea Aina nyingine ya Ukatili wa kiuchumi dhidi ya wanawake jambo linalohatarisha wanawake kuwa tegemezi.
Na Hafidh Ally na Joyce Buganda
Nuru FM imekuandalia makala hii maalum Kuangazia changamoto za ukatili wa kiuchumi ambazo wanawake wanakutana nazo na kupelekea Familia nyingi kuingia katika madeni na migogoro.