Nuru FM
27 October 2026, 11:47

Na Hafidh Ally
Wananchi wa Kijiji cha Matembo, Kata ya Kising’a, katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Vijijini, wametakiwa kutowaficha watoto wenye ulemavu, bali kuwapeleka katika huduma na fursa zinazostahili ili waweze kupata msaada na kuishi maisha bora.
Taarifa hii inaangazia umuhimu wa kuwapa huduma zote watoto wenye ulemavu mara baada ya viongozi na wadau wa kijamii kufanikiwa kumuibua mtoto mwenye umri wa miaka minane aliyekuwa akifichwa nyumbani na walezi wake.
Mwanahabari wetu Frank Vegulla ametuandalia Taarifa kamili………..