Nuru FM

Recent posts

8 March 2024, 4:40 pm

Wanawake Iruwasa watoa msaada kwa wagonjwa

Mashuka yaliyokabidhiwa Hospitalini hapo yatawasaidia wagonjwa wanaolazwa. Na Mwandishi wetu Ikiwa Leo ni Siku ya Wanawake Duniani wanawake kutoka Idara ya Maji Safi na Mazingira Iringa (IRUWASA) wametembelea Hospitali ya Rufaa Ya Mkoa wa Iringa na kutoa mashuka 20 kwa…

7 March 2024, 4:40 pm

Madereva Iringa washangaa kivuko kuondolewa

Kuondolewa kwa kivuko Cha katika stendi ya zamani Iringa kumetajwa kuwa sababu ya ongezeko la foleni na magari yao kuharibika. Na Godfrey Mengele Madereva wanaotumia kituo cha stendi kuu ya zamani, kwa sasa ikifahamika kama stendi ya daladala wameshangazwa na…

7 March 2024, 4:30 pm

Yara kuibua tija ya kilimo Iringa

Yara kuja na Mkakati wa kutoa mafunzo kwa wakulima yenye lengo la kuongeza usalishaji. Na Adelphina Kutika Kampuni ya Yara Tanzania imeanzisha kituo Cha Mafunzo ambacho kitakuwa kikihusika na kuibua tija ya wakulima na kuchangia kilimo endelevu kwa Mkoa wa…

7 March 2024, 4:10 pm

Acheni kwenda na watoto kilabuni

Utaratibu wa wazazi kwenda na watoto Vilabuni chanzo Cha ongezeko la Ukatili dhidi ya watoto Mkoani Iringa. Na Joyce Buganda Mkuu wa Dawati la jinsia na watoto Mkoa wa Iringa Mkaguzi wa Polisi, Elizabeth Swai amewaasa Wanawake kuacha tabia ya…

7 March 2024, 3:29 pm

Wafanyabiashara Kihesa waomba wakarabatiwe soko

Licha ya Viongozi Kutoa ahadi kuhusu ukarabati wa Soko hilo lakini utekelezaji wake umekuwa Mgumu. Na Godfrey Mengele Wafanyabiashara wa soko la Kihesa maarufu kama kihesa sokoni lililopo halmashauri ya Manispaa ya Iringa wameitaka serikali kuwajengea soko lenye hadhi ya…

7 March 2024, 10:09 am

Wanahabari wapewa mafunzo ya radio portal

Mafunzo ya kuwajengea uwezo wanahabari ili waweze kuandaa maudhui bora mtandaoni hasa kupitia radio portal. Na Hafidh Ally Waandishi wa habari kutoka radio jamii zilizopo chini ya mtandao wa TADIO wamepewa mafunzo ya namna ya kuchapisha na kutuma maudhui kupitia…

5 March 2024, 8:40 pm

Kihenzile awaita wawekezaji usafiri wa reli

Na Mwandishi wetu Wawekezaji wameshauriwa kujitokeza kwa wingi kuwekeza katika usafiri wa reli hapa nchini. Wito huo umetolewa  mkoani Mwanza na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ambaye ni Mbunge wa Mufindi Kusini wakati alipokuwa akizindua jukwaa la uwekezaji la…

5 March 2024, 8:57 am

Iringa yaunda kamati kutatua changamoto za machinga

Na Hafidh Ally Mkoa wa Iringa umeunda kamati ndogo itakayofanya kazi siku saba kushughulikia ombi la wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga la kuwaruhusu wanawake kufanya shughuli zao katika eneo la mashine tatu muda wa jioni. Mkuu wa mkoa huo Halima Dendego…

4 March 2024, 12:24 pm

Iringa kuzindua mkakati wa kukabili udumavu

Licha ya takwimu kuonesha kuwa hali ya udumavu nchini imepungua hadi kufikia asilimia 30 mwaka 2022, bado mikoa ya Iringa na Njombe ina hali ya udumavu wa kutisha. Na Frank Leonard Wakati baadhi ya wadau wakionekana kutoziafiki takwimu zinazoonesha mkoa…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.