Recent posts
6 March 2026, 16:02
Wanawake Iringa waaswa kusimamia maadili
“Maadili bora katika jamii yanaanzia kwa wanawake hivyo wanapaswa kuwa mstari wa mbele” Na Joyce Buganda Wanawake wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wametakiwa kusimamia maadili mema na malezi katika familia zao na jamii inayowazunguka. Akizungumza wakati wa kufunga kongamano…
6 March 2026, 08:50
Bei ya bidhaa yapaa Kwaresma na Ramadhan
Na Elika Matonya na Telesia Chalamila Wafanyabiashara wa soko kuu Mkoani Iringa wameeleza hali halisi ya biashara na aina ya bidhaa zinazouzika katika msimu huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhan pamoja na kwaresma. Wakizungumza na Nuru FM Baadhi ya Wafanyabiashara…
5 March 2026, 18:36
Kadi ya alama kufuatilia malezi ya mtoto Iringa
Uzinduzi wa kadi alama utasaidia kupata takwimu sahihi na kujua namna bora ya kulea na siyo kutunza watoto. Na Hafidh Ally Maafisa wanaotekeleza Afua tano za mradi wa Program Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya…
5 March 2026, 17:16
Kadi ya alama kuongeza malezi kwa mtoto
Mafunzo hayo yatasaidia kujua mfumo wa kupata takwimu halisi katika maendeleo ya ukuaji wa mtoto. Na Adelphina Kutika Waratibu wa afua tano zinazotekeleza mradi wa PJT–MMMAM katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wamepatiwa mafunzo ya siku moja kuhusu ujio wa…
3 March 2026, 10:14
Mbunge Kabati ajionea kero ya barabara Kilolo
“Serikali itahakikisha Barabara zinapitika Kwa Mwaka mzima hasa katika Misimu ya Mvua kwa kuzikarabati” Kabati Na Hafidh Ally Wananchi wa Jimbo la Kilolo Mkoani Iringa wamelalamikia changamoto ya ubovu wa barabara za Jimbo hilo hasa njia za Dabaga na idete…
3 March 2026, 09:50
Wanawake Mufindi waonywa na mikopo Isiyofaa
Mkitaka kukopa ni vyema mkazifuata taasisi zinazotoa mikopo zilizosajiliwa kisheria Na Fredrick Siwale Wanawake Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa wametakiwa kutojihusisha na mikopo yenye viashiria vya kausha damu ili ambayo imekuwa ikileta taharuki na kupoteza utu wa mwanamke…
2 March 2026, 17:38
Skimu ya Mkombozi kuwanufaisha wananchi Iringa
Kukamilika kwa skimu hiyo kunatarajiwa kuongeza eneo lenye miundombinu ya umwagiliaji kutoka ekari 4,500 zinazotegemea mifumo ya asili hadi kufikia ekari 15,000 zenye miundombinu bora na ya kudumu. Na Hafidh Ally Mradi wa skimu ya umwagiliaji ya Mfereji wa Mkombozi…
2 March 2026, 17:19
TAKUKURU yaokoa Mil 106 za Tanroad Iringa
TAKUKURU ilibaini watu binafsi walikuwa wakijinufaisha kwa kukusanya mapato hayo kwa njia zisizo rasmi. Na Ayoub Sanga Jumla ya Shilingi milioni 106 zimepatikana kutokana na uboreshaji wa usimamizi wa makusanyo ya matumizi ya hifadhi za barabara mkoani Iringa, kufuatia hatua…
13 February 2026, 10:12
Wananchi 7000 Iringa kupata bima za afya
Mpango huu umekuja ili kuhakikisha wananchi wapata huduma za afya bila vikwazo. Na Joyce Buganda Wananchi 7827 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Iringa yenye kata 28 wamashatambuliwa na wanatarajiwa kunufaika na mpango wa bima kwa wote kampeni ambayo inaendelea nchi…
11 February 2026, 09:51
Serikali yawekeza bilioni 59 kukuza utalii Ruaha
Mradi wa REGROW unalenga kuimarisha sekta ya utalii, kulinda rasilimali asilia na kukuza uchumi wa Mkoa wa Iringa. Na Hafidh Ally Mradi wa uboreshaji wa usimamizi wa maliasili na kukuza utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) wenye thamani ya Shilingi bilioni…