Recent posts
24 March 2026, 09:12
DC Sitta aagiza barabara ya Kitasengwa kutengenezwa
Barabara hiyo ilihabirika kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Iringa. Na Hafidh Ally Mkuu wa Wilaya ya Iringa Benjamin Sitta amewataka maafisa wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kushughulikia changamoto ya uharibifu wa miundombinu ya barabara katika…
23 March 2026, 12:00
TGNP yawanoa wanahabari Iringa kuhusu ukatili
Wanahabari Mkoani Iringa wametakiwa kutumia mafunzo hayo vizuri katika kuripoti masuala ya jinsia na mabadiliko ya tabia ya Nchi. Na Telesia Chalamila Waandishi wa habari 20 kutoka vyombo mbalimbali mkoani Iringa wamepatiwa mafunzo maalum yanayozingatia masuala ya kijinsia na mabadiliko…
17 March 2026, 16:29
TGNP- Vijana na wanawake shirikini katika maamuzi
Mafunzo hayo yamehusisha zaidi ya washiriki 24 kutoka maeneo mbalimbali yakilenga kuwajengea uwezo wanawake na Vijana ili waweze kushiriki kikamilifu katika uongozi katika ngazi mbalimbali za jamii na taasisi. Na Joyce Buganda Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kupitia mradi wa…
17 March 2026, 09:55
Madaktari bingwa wa macho wawanufaisha Wanairinga
Madaktari Bingwa kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa Kwa kishirikina na shirika la KCCO wanatoa huduma hizo za kibingwa kwa wananchi. Na Hafidh Ally Jumla ya wagonjwa 2,000 wamepata huduma ya matibabu ya macho mkoani Iringa katika kipindi…
17 March 2026, 09:19
Wanafunzi Iringa waelimishwa kuhusu afya na ukatili
Changamoto ya Masuala ya afya ya uzazi na ukatili imepelekea shirika la TAHEA na Serikali kutoa elimu kwa wanafunzi. Na Gerald Malekela Wanafunzi wa Shule ya Ufundi Ifunda na Tanangozi Sekondari Wilayani Iringa wamepatiwa elimu ya kupinga ukatili wa kijinsia…
16 March 2026, 10:20
Moto wateketeza maduka 20 ya wajasiriamali Iringa
Moto huo ulitekekeza bidhaa za wajasiriamali ambazo bado thamani yake haijawekwa wazi. Na Hafidh Ally Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeteketeza maduka 20 ya wafanyabiashara wa bidhaa za kitalii katika eneo la Garden lililopo Manispaa ya Iringa na…
13 March 2026, 12:30
RC Kheri aagiza watumishi kuzingatia utawala bora
Watumishi wanapaswa kuzingatia ushirikiano katika maeneo yao ya kazi ili kuongeza ufanisi wa utoaji huduma kwa wananchi wa Mkoa wa Iringa. Na Hafidh Ally Watumishi wa umma wa kada mbalimbali ambao wamepata ajira mkoani Iringa wametakiwa kuzingatia misingi ya sheria…
13 March 2026, 09:00
Aliyembaka mtoto hadi kufa Iringa akamatwa
Mtuhumiwa amekamatwa kwa haraka baada ya maagizo yalitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Heri James, aliyesisitiza hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi ya wahusika wa tukio hilo. Na Hafidh Ally Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limemkamata mtuhumiwa wa…
13 March 2026, 08:34
Mafuriko yasababisha maafa kijiji cha Makatapola
Mvua hizo zimesababisha uharibifu wa nyumba, upotevu wa mali pamoja na kuharibiwa kwa mazao yaliyokuwa mashambani. Na Ayoub Sanga Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali mkoani Iringa zimesababisha maafa makubwa ikiwemo uharibifu wa nyumba, upotevu wa mali na kuharibiwa…
12 March 2026, 12:14
Wafanyabiashara Mafinga walalamikia milango kufungwa
“Kitendo cha kuwekwa kwa makufuli katika milango ya biashara zetu hatukubaliani nacho” Na Fredrick siwale Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mafinga katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wamelalamikia hatua ya baadhi ya maafisa wa halmashauri hiyo kufunga milango…