Recent posts
12 March 2026, 08:42
Wananchi Ibangamoyo wanufaika na maji ya IDYDC
Mradi huu unatekelezwa ukiwa na lengo la kuwalipia maji ya Mkopo kupitia IRUWASA na kisha wananchi kulipa kidogo kidogo. Na Hafidh Ally Wananchi wa Mpaka kijiji cha Ibangamoyo Kilichopo Kata ya Ulanda Wilaya ya Iringa Vijini wamenufaika na mradi wa…
11 March 2026, 09:27
Forland wazindua utafiti sekta ya misitu Iringa
Utafiti huo wa sekta ya misitu unatarajia kukuza mnyororo wa thamani ya mazao hayo kwa wakulima wadogo. Na Joyce Buganda Serikali mkoani Iringa kwa kushirikiana na Shirika la Forland Tanzania imezindua matokeo ya utafiti kuhusu maendeleo ya sekta ya misitu,…
11 March 2026, 09:09
Ndete Store wakabidhi Samani Shule ya Sekondari Kimande
Kutokana na changamoto ya ukosefu wa samani hizo, walimu walilazimika kutumia viti vya wanafunzi wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Na Ayoub Sanga Mkurugenzi wa Ndete Store , Lucas Ndete, amekabidhi meza na viti kwa walimu wa Shule…
9 March 2026, 09:45
RC Kheri akemea wanaoficha ushahidi matukio ya ukatili
Serikali imeweka mifumo na vituo vya kuripoti matukio ya ukatili, na wananchi wanapaswa kuitumia Na Fredrick Siwale Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James, amekemea tabia ya baadhi ya wanawake, kutotoa ushahidi katika mashauri yanayohusiana na matukio ya ukatili…
8 March 2026, 08:00
Wanawake Iringa DC watoa msaada kwa watoto
“Tumeona tusherehekee siku ya wanawake duniani Kwa kutoa msaada wa mahitaji Kwa watoto hawa” Na Joyce Buganda Wanawake kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wameadhimisha maadhimisho ya siku ya wanawake kiwilaya kitofauti kwa kwenda kutembelea vituo viwili vya watoto yatima…
7 March 2026, 10:41
Samia ardhi kliniki kutatua migogo ya ardhi
Kliniki hii ina lenga kuhakikisha wanawake wanapata fursa ya kumiliki ardhi sawa na wanaume. Na Telesia Chalamila na Elika Matonya Kuelekea maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Wizara ya ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Ofisi ya ardhi Mkoa wa…
7 March 2026, 10:29
Wanawake Mufindi waonywa kuacha kuwapiga wanaume
“Wanaume Wilaya ya Mufindi wamekuwa wakikutana na vipigo na wanakaa kimya” Na Fredrick Siwale Wanawake Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa wametakiwa kuacha tabia ya kuwapiga waume zao ili kukuza ustawi katika Jamii. Hayo yamezungumzwa wakati wa Maadhimisho ya…
6 March 2026, 16:02
Wanawake Iringa waaswa kusimamia maadili
“Maadili bora katika jamii yanaanzia kwa wanawake hivyo wanapaswa kuwa mstari wa mbele” Na Joyce Buganda Wanawake wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wametakiwa kusimamia maadili mema na malezi katika familia zao na jamii inayowazunguka. Akizungumza wakati wa kufunga kongamano…
6 March 2026, 08:50
Bei ya bidhaa yapaa Kwaresma na Ramadhan
Na Elika Matonya na Telesia Chalamila Wafanyabiashara wa soko kuu Mkoani Iringa wameeleza hali halisi ya biashara na aina ya bidhaa zinazouzika katika msimu huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhan pamoja na kwaresma. Wakizungumza na Nuru FM Baadhi ya Wafanyabiashara…
5 March 2026, 18:36
Kadi ya alama kufuatilia malezi ya mtoto Iringa
Uzinduzi wa kadi alama utasaidia kupata takwimu sahihi na kujua namna bora ya kulea na siyo kutunza watoto. Na Hafidh Ally Maafisa wanaotekeleza Afua tano za mradi wa Program Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya…