Recent posts
7 September 2026, 10:01
RC Kheri awataka vijana Iringa kuikataa rushwa
Elimu ya kupinga rushwa ni muhimu katika kuwaandaa vijana ambao watakuwa viongozi waadilifu na wenye uzalendo katika siku zijazo. Na Hafidh Ally Vijana Mkoani Iringa wametakiwa kuikataa na kuichukia rushwa pamoja na kuwa sehemu ya mapambano dhidi ya vitendo hivyo,…
1 September 2026, 08:52
Simba aliyezua taharuki Mufindi auawa
Simba huyo amewasababishia hasara wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kwa kuua mifugo yao. Na Fredrick Siwale Serikali kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanikiwa kumuua simba aliyekuwa akivamia makazi ya wananchi na kuua mifugo…
31 August 2026, 09:28
Kiwanda bubu cha pombe bandia chabainika Mafinga
Watu watatu wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi watafikishwa katika hatua za kisheria kwa kosa la kuzalisha pombe bandia. Na Hafidh Ally Kiwanda bubu kinachodaiwa kutengeneza pombe kali bandia kimebainika katika eneo la Pipeline, Mjini Mafinga, Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa,…
29 August 2026, 09:48
Mafinga mji wakanusha madaktari saba kufutwa kazi
“Huku Mafinga hakuna watumishi walioadhibiwa kwa utovu wa nidhamu” Na Fredrick Siwale Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji Mafinga Mkoani Iringa limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Halmashauri hiyo imewafukuza kazi na kuwaadhibu baadhi ya watumishi…
27 August 2026, 09:12
Madaktari Mafinga wafukuzwa kazi kwa kuchati
Wananchi wa Halmahauri ya Mji Mafinga wamelalamikia tabia ya wahudumu wa afya katika hospitali kuchati badala ya kuwahudumia. Na Fredrick Siwale Madaktari saba kutoka Halmashauri ya Mji Mafinga wamefukuzwa kazi, huku wengine wakipangiwa majukumu mengine, ikiwemo kushiriki katika zoezi la…
26 August 2026, 09:46
Wafanyabiashara soko kuu Mafinga kuridhia mradi wa TACTIC
Na Fredrick Siwale Wafanyabiashara wa Soko Kuu Mafinga wameshauriwa kukaa pamoja na Serikali katika mashauriano, ili kufikia mwafaka kuhusu ujenzi wa soko hilo kupitia Mradi wa TACTIC unaofadhiliwa na Benki ya Dunia. Ushauri huo umetolewa na Mbunge wa Jimbo la…
25 August 2026, 10:30
Serikali yaombwa kuongeza watumishi, wodi Ihongole
Uhaba wa watumishi katika Kituo cha afya ihongole unahatarisha usalama wa wagonjwa wanaofika kituoni hapo kupata huduma za afya. Na Fredrick Siwale Wananchi wa Kata ya Boma, Halmashauri ya Mji Mafinga, wameiomba Serikali kuongeza watumishi wa afya pamoja na wodi…
25 August 2026, 10:24
Iringa kupambana na vishoka mbegu feki
Matumizi ya mbegu bora kutoka ASA yanaweza kuwa chachu muhimu ya kuongeza uzalishaji na tija kwa wakulima. Na Joyce Buganda Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali kuwawezesha wakulima kupata mbegu bora za ruzuku, ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto zinazowakabili…
23 August 2026, 09:06
Mikopo umiza yatishia ndoa Mafinga
Baadhi ya wanawake wanaodaiwa mikopo hiyo kukimbia na kuziacha ndoa zao kutokana na shinikizo linalotokana na wadai. Na Fredick Siwale Wananchi wa Kata ya Boma, Halmashauri ya Mji Mafinga, wametakiwa kujiepusha na mikopo inayotolewa na taasisi zisizosajiliwa, ikielezwa kuwa imekuwa…
22 August 2026, 13:14
NACONGO yatakiwa kuelekeza miradi kwenye uhitaji
“Badala ya eneo moja kuwa na miradi ya aina moja inayotekelezwa na mashirika hayo ni vyema wakajigawa na kupeleka miradi hiyo kwenye maeneo yenye uhitaji” Na Hafidh Ally Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Dkt. Linda Salekwa, amezitaka taasisi na mashirika…