Recent posts
16 September 2026, 10:05
Iringa yapongezwa kwa utekelezaji wa afua za afya
Mafanikio hayo yanaonesha kuwa Mkoa wa Iringa una maafisa afya wenye uwezo, wanaowajibika na kujituma katika kutekeleza majukumu yao. Na Hafidh Ally Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James, amewapongeza maafisa afya mkoani humo kwa utendaji mzuri unaochangia mkoa…
15 September 2026, 10:20
Kabati asikia kilio cha bei ya mbolea ya ruzuku
Mbolea za ruzuku zinalenga kuwasaidia wakulima kupunguza gharama za uzalishaji na kuongeza tija. Na Hafidh Ally Wananchi wa Kata ya Boma la Ng’ombe, Wilaya ya Kilolo, wameiomba Serikali kuchukua hatua za haraka kutatua changamoto ya upatikanaji wa mbolea za ruzuku,…
14 September 2026, 10:11
Wananchi Ihalimba waomba ukarabati wa barabara
Barabara za Kata ya Ihalimba wamelalamikia ubobu wa barabara hasa katika kipindi cha mvua. Na Fredrick Siwale Wananchi wa vijiji vilivyopo Kata ya Ihalimba, Wilaya ya Mufindi, wameiomba Serikali kukarabati barabara za maeneo yao, wakieleza kuwa barabara hizo hazipitiki vizuri,…
10 September 2026, 14:19
Kiswaga achangia Sh. 500,000 kwa umeme wa pampu Mangalali
Na Hafidh Ally Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Mhe. Jackson Kiswaga, amechangia Shilingi laki tano kwa ajili ya ununuzi wa umeme utakaotumika kuendesha pampu ya maji katika Kisima Kirefu cha Umeme, kilichopo Kijiji cha Mangalali, Kata ya Ulanda. Akizungumza mara…
9 September 2026, 10:22
RC Kheri: Vijana tumieni mitandao kwa maendeleo
Teknolojia imekuwa kwa kasi na mitandao ya kijamii imeendelea kuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, hivyo vijana wanapaswa kutumia fursa hiyo kwa manufaa yao na ya jamii. Na Hafidh Ally Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James,…
7 September 2026, 10:01
RC Kheri awataka vijana Iringa kuikataa rushwa
Elimu ya kupinga rushwa ni muhimu katika kuwaandaa vijana ambao watakuwa viongozi waadilifu na wenye uzalendo katika siku zijazo. Na Hafidh Ally Vijana Mkoani Iringa wametakiwa kuikataa na kuichukia rushwa pamoja na kuwa sehemu ya mapambano dhidi ya vitendo hivyo,…
1 September 2026, 08:52
Simba aliyezua taharuki Mufindi auawa
Simba huyo amewasababishia hasara wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kwa kuua mifugo yao. Na Fredrick Siwale Serikali kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanikiwa kumuua simba aliyekuwa akivamia makazi ya wananchi na kuua mifugo…
31 August 2026, 09:28
Kiwanda bubu cha pombe bandia chabainika Mafinga
Watu watatu wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi watafikishwa katika hatua za kisheria kwa kosa la kuzalisha pombe bandia. Na Hafidh Ally Kiwanda bubu kinachodaiwa kutengeneza pombe kali bandia kimebainika katika eneo la Pipeline, Mjini Mafinga, Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa,…
29 August 2026, 09:48
Mafinga mji wakanusha madaktari saba kufutwa kazi
“Huku Mafinga hakuna watumishi walioadhibiwa kwa utovu wa nidhamu” Na Fredrick Siwale Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji Mafinga Mkoani Iringa limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Halmashauri hiyo imewafukuza kazi na kuwaadhibu baadhi ya watumishi…
27 August 2026, 09:12
Madaktari Mafinga wafukuzwa kazi kwa kuchati
Wananchi wa Halmahauri ya Mji Mafinga wamelalamikia tabia ya wahudumu wa afya katika hospitali kuchati badala ya kuwahudumia. Na Fredrick Siwale Madaktari saba kutoka Halmashauri ya Mji Mafinga wamefukuzwa kazi, huku wengine wakipangiwa majukumu mengine, ikiwemo kushiriki katika zoezi la…