Recent posts
2 May 2026, 20:32
Wahitimu kutumia elimu kusaidia jamii
Wahitimu wa Kidato Cha Sita katika shule ya Sekondari JJ Mungai iliyopo Halmashauri ya Mji Mafinga Mkoani Iringa wametakiwa kuisaidia Jamii Kwa kutumia Elimu yao. Ma Fredrick Siwale Hayo yamezungumzwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Iringa (UoI) Dr.Salvatory Mhando katika…
1 May 2026, 09:25
Waziri Mkuu kufanya ziara Mkoani Iringa
Ziara hiyo ni Sehemu ya serikali kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kusikiliza changamoto za wananchi moja kwa moja. Na Ayoub Sanga Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James, ametangaza kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa…
30 April 2026, 11:28
IFCU yawanoa wajasiriamali wanawake Iringa
Mafunzo hayo yameandaliwa mahsusi kuwasaidia wakulima kusimamia mapato yao baada ya mavuno kwa ufanisi. Na Ayoub Sanga Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Iringa (IFCU) kimeendesha mafunzo maalum ya ujasiriamali kwa wanawake wanachama wa Vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS)…
30 April 2026, 11:16
Mufindi waweka mkakati wa kuongeza ukusanyaji mapato
Mapato ya ndani Kwa Halmahsauri hiyo yameongezeka kutoka asilimia 41% hadi kufikia asilimia 52% katika robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2025/26 , hali inayochochea kasi ya Maendeleo ya jamii. Na Fredrick Siwale Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya…
30 April 2026, 10:49
CFS kuwanufaisha wakulima na wafugaji Iringa
Mradi huu umewasaidia wakulima na wafugaji kujua namna bora ya kufanya kilimo na ufugaji kisasa. Na Joyce Buganda Mradi wa mfumo wa mzunguko wa chakula (CFS) unaotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, hususan katika skimu za umwagiliaji za Kiwele…
30 April 2026, 10:05
RC Kheri atatua mgogoro wa ardhi Magubike
Mgogoro huo ulipelekea Bw. Mpambe Mnyambeyu, kuzuiwa kufanya shughuli za kimila katika makaburi ya wazazi wake yaliyopo ndani ya eneo la mgogoro, hatua inayotajwa kuleta suluhu na kurejesha amani kwa pande zinazosigana. Na Ayoub Sanga Mkuu wa Mkoa wa Iringa,…
23 April 2026, 08:49
Mikopo umiza yatajwa kuvunja ndoa Mafinga
Mikopo ya kausha damu imepelekea wanawake kukimbia ndoa zao Na Fredrick Siwale Wananchi Halmashauri ya Mji wa Mafinga wamelalamikia kitendo vya taasisi zinazotoa mikopo kuwafuata na kuwafanyia fujo pale wanapofuata marejesho jambo linalowavunjia utu huku wengine wakiiishi kama wakimbizi. Wakizungumza…
21 April 2026, 08:36
Wanaochangisha michango shuleni wakalia kuti kavu Iringa
“Serikali haitavumilia vitendo vinavyowaongezea gharama zisizo za lazima wazazi na walezi” Na Ayoub Sanga Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James, ameendelea kusisitiza kuchukuliwa hatua kali dhidi ya Wakuu wa shule wanaokiuka utaratibu wa Serikali kwa kuanzisha michango isiyoidhinishwa.…
16 April 2026, 08:09
Ahukumiwa kwa madai ya kuibiwa nyeti Iringa
Uchunguzi wa kitabibu ulithibitisha kuwa taarifa hizo hazikuwa za kweli na watuhumiwa hao wamefikishwa mahakamani. Na Hafidh Ally Jeshi la Polisi mkoani Iringa, limemkamata Ramadhani Mussa (53), dereva na mkazi wa Dar es Salaam, kwa kosa la kutoa taarifa za…
15 April 2026, 09:21
RC kheri ahimiza ukusanyaji mapato Iringa
“Haiwezekani viongozi hao kujikita katika matumizi ya fedha pekee bila kuwa na mikakati madhubuti ya ukusanyaji wa mapato” Na Ayoub Sanga Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewaagiza wenyeviti wa halmashauri za wilaya kufanya tathmini ya kina ya hali…