Radio Tadio

Kilimo

30 April 2026, 10:23

Wahitimu kidato cha sita waaswa kuwa na maadili mema Kasulu

Maadili mema ni mwongozo muhimu katika maisha ya kila siku ya mwanafunzi kwani huakisi tabia njema kama nidhamu, uaminifu, heshima, na bidii kwa mwanafunzi mwenye ndoto ya kufanikiwa maishani, maadili haya huwa nguzo kuu inayomsaidia kufikia malengo yake. Na Hagai…

21 April 2026, 09:32

Wahitimu kidato cha sita waaswa kuendeleza nidhamu Kasulu

Wanafunzi wa Kidato cha sita, katika shule ya sekondari Kigoma Grand, halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma, wametakiwa kuendeleza nidhamu waliyopata shuleni hapo ili wawe mfano wa kuigwa katika jamii inayowazunguka. Na mwandishi wetu Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji…

20 April 2026, 13:57

DED Kasulu achangia tofali 5000 ujenzi uzio wa shule

Wazazi na walezi wametakiwa kuona umuhimu wa ushirikiano kati ya wadau wa elimu katika kutatua changamoto zinazoikabili shule ya Sekondari Kigoma Grand. Na Hagai Ruyagila Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu, mkoani Kigoma Mwalimu Vumilia Simbeye ameahidi kuchangia tofali 5000…

20 April 2026, 09:11

Wahitimu kidato cha sita waaswa kuwa wazalendo

Wakati wanafunzi wa kidato cha sita wakiwa wanajianda na mitihani ya kuhitimu elimu ya kidato cha sita wameaswa kusaoma kwa bidii ili waweze kufanya vizuri katika mitihani yao. Na Sadiki Kibwana Wanafunzi wanaohitimu kidato cha sita Wilaya ya Kigoma wametakiwa…

6 March 2026, 11:36

VETA Kigoma yaendelea kukuza ujuzi kwa vijana

Katika dunia ya leo, ujuzi wa kazi ni muhimu kwa maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla na wengi wanahitaji mafunzo ya vitendo ili waweze kujitegemea na kuchangia katika maendeleo ya jamii ambapo VETA imekuwa na mchango mkubwa katika kuwasaidia…

2 March 2026, 09:23

Utoaji chakula shuleni Wilaya ya Uvinza umefikia 60%

Chakula shuleni ni nguzo muhimu katika kuhakikisha mwanafunzi anakuwa na afya njema, anafaulu masomo, na anakua katika mazingira bora ya kielimu. Na Mwandishi wetu Wilaya ya Uvinza imejipanga kuendelea kuboresha utoaji wa chakula shuleni ikiwa ni mkakati mojawapo wa kuongeza…